nyansahofoundation

nyansahofoundation Empowering communities through accessible education & healthcare, ensuring sustainable development

EID AL ADHA MUBARAKTaasisi ya Nyansaho Foundation inawapongeza ndugu zetu wote Waislamu kwa Sikukuu hii tukufu ya Eid Al...
26/05/2026

EID AL ADHA MUBARAK

Taasisi ya Nyansaho Foundation inawapongeza ndugu zetu wote Waislamu kwa Sikukuu hii tukufu ya Eid Al Adha.

Iwe na furaha, amani na baraka za Mwenyezi Mungu. πŸ™πŸΎ

HERI YA SIKU YA MAMAKwa mama wote wanaobeba familia zao kwa upendo, subira na nguvu, leo ni siku yenu.
10/05/2026

HERI YA SIKU YA MAMA

Kwa mama wote wanaobeba familia zao kwa upendo, subira na nguvu, leo ni siku yenu.

HERI YA SIKU YA WAFANYAKAZITaasisi ya Nyansaho Foundation inawapongeza wafanyakazi wote.Jasho lenu ndilo nguzo ya maende...
30/04/2026

HERI YA SIKU YA WAFANYAKAZI

Taasisi ya Nyansaho Foundation inawapongeza wafanyakazi wote.

Jasho lenu ndilo nguzo ya maendeleo ya Taifa letu. πŸ’ͺ🏾

Asante kwa kila mmoja aliyewezesha siku ile ya kipekee kuwa Tukio lenye mafanikio. Mchango wenu hautasahaulika
29/04/2026

Asante kwa kila mmoja aliyewezesha siku ile ya kipekee kuwa Tukio lenye mafanikio.

Mchango wenu hautasahaulika

26/04/2026

Mh. Dkt. Rhimo Nyansaho, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Nyansaho Foundation kwenye ufunguzi wa Kanisa la Waadventista WaSabato Musati Central.

Musati, Serengeti. Historia iliandikwa.

Tunaadhimisha miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Msingi wa Taifa letu kubwa la Tanzania.
26/04/2026

Tunaadhimisha miaka 62 ya Muungano
wa Tanganyika na Zanzibar.

Msingi wa Taifa letu kubwa la Tanzania.

24/04/2026

Tukio lililoacha historia Ndani ya Musati, Serengeti.

Ufunguzi wa Kanisa la Waadventista wa
Sabato Musati Central lililojengwa na
Taasisi ya Nyansaho Foundation na Harambee ya ujenzi wa Shule na Zahanati.

Muonekano wa Kanisa la Waadventista Wasabato Musati Central lililojengwa na Taasisi ya Nyansaho Foundation siku ya ufung...
21/04/2026

Muonekano wa Kanisa la Waadventista Wasabato
Musati Central lililojengwa na Taasisi ya Nyansaho Foundation siku ya ufunguzi wake rasmi.

Musati ilishuhudia historia, ufunguzi wa Kanisa la Wa Adventista Wasabato Lililojengwa na Taasisi ya Nyansaho Foundation...
19/04/2026

Musati ilishuhudia historia, ufunguzi
wa Kanisa la Wa Adventista Wasabato Lililojengwa na Taasisi ya Nyansaho Foundation

Asante kwa kila aliyekuwa sehemu ya
siku ile ya kipekee. πŸ™πŸΎπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Mh. Dkt. Rhimo Nyansaho, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Nyansaho Foundation aliv...
19/04/2026

Mh. Dkt. Rhimo Nyansaho, Waziri wa
Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na
Mwenyekiti wa Taasisi ya Nyansaho Foundation
alivyowasili kwenye Ufunguzi wa Kanisa la
Waadventista wa Sabato Musati Central, Siku ya jana.

Ari na hamasa vilionekana usoni mwa
kila aliyehudhuria.

Kuelekea Kesho Kwenye Tukio Kubwa Zaidi Ndani Ya Mkoa Wa Mara.Jisajili sasa kupitia website yetu:🌐 www.nyansaho.live
16/04/2026

Kuelekea Kesho Kwenye Tukio Kubwa Zaidi Ndani Ya Mkoa Wa Mara.

Jisajili sasa kupitia website yetu:
🌐 www.nyansaho.live

Address

Serengeti District
Mugumu

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when nyansahofoundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share