VIWAWA-Jimbo Katoliki la Mpanda

VIWAWA-Jimbo Katoliki la Mpanda Ujana ni lulu, utunze kwa moyo wako na akili zako zote. Tumia vizuri nguvu za ujana wako

Ewe kijana zitumie nguvu zako kwa manufaa ya Familia, Jamii, Kanisa na Taifa🎄👋
30/12/2025

Ewe kijana zitumie nguvu zako kwa manufaa ya Familia, Jamii, Kanisa na Taifa🎄👋

Amani iwe nanyi👋
30/12/2025

Amani iwe nanyi👋

05/11/2025

⚠️⚠️⚠️Hapa kuna mabadiliko muhimu kuhusu sheria mpya za mawasiliano kwenye WhatsApp na simu za WhatsApp (simu za sauti na video) ambazo zitatekelezwa kuanzia kesho: -

01. Mawasiliano yote yatarekodiwa.
02. Nakala za rekodi za mawasiliano zitahifadhiwa.
03. WhatsApp, Facebook, Twitter, Instagram na mitandao mingine ya kijamii itafuatiliwa.
04. Vifaa vyako vitakuwa vinaunganishwa kwenye mfumo wa Wizara.
05. Jihadhari usitume ujumbe mbaya kwa mtu yeyote.
06. Waambie watoto wako, ndugu zako, jamaa, marafiki, na watu unaowafahamu kwamba wanapaswa kuwa makini na wachache kwenye mitandao ya kijamii.
07. Usitume machapisho au video mbaya dhidi ya serikali kuhusu siasa au hali ya sasa.
08. Kwa sasa ni kosa kuandika au kutuma ujumbe mbaya kuhusu suala lolote la kisiasa au kidini, kufanya hivyo kunaweza kusababisha kukamatwa bila waranti.
09. Polisi watatoa taarifa, kisha kufungua kesi za uhalifu wa mtandaoni, ambayo ni jambo serious.
10. Wanachama wote wa kikundi, waendeshaji tafadhali fikiria suala hili.
11. Jihadhari usitume ujumbe mbaya na kila mtu ajue na achukue tahadhari ya mada.

Kuwa makini na yote kwenye kikundi...

Taarifa muhimu kuhusu sheria mpya za WhatsApp kwa wanachama wa kikundi...

1. ✔ = Ujumbe umepelekwa.
2. ✔✔ = Ujumbe umefika.
3. Alama mbili za bluu ✔️✔️ = Ujumbe umesomwa.
4. Alama tatu za bluu ✔️✔️✔️ = Serikali imechukua note ya ujumbe.
5. Alama mbili za bluu ✔️✔️ na moja nyekundu ✔️ = Serikali inaweza kuchukua hatua dhidi yako.
6. Moja ya bluu ✔️ na mbili nyekundu ✔️✔️ = Serikali inachunguza taarifa yako.
7. Alama tatu za nyekundu ✔✔✔ = Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi yako na utapata wito wa mahakama hivi karibuni.

Kuwa raia mwema na shiriki na marafiki zako...

Apumzike kwa amani Papa Francis1936-2025😥🙏👋
21/04/2025

Apumzike kwa amani Papa Francis
1936-2025😥🙏👋

19/04/2025

Tukumbushane.
Krixto❌_________Kristo✔️
yesu/Yexu❌____Yesu✔️
mungu❌________Mungu✔️

19/04/2025

Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu. Tujue kuwa kila tufanyapo dhambi tunatonesha majeraha ya Yesu😥

Mazishi ya Padre SILUNGU leo Jumatano katika Parokia ya Ilembo.
26/03/2025

Mazishi ya Padre SILUNGU leo Jumatano katika Parokia ya Ilembo.

TANZIA TANZIA TANZIA😥Mhashamu Askofu Eusebius Alfred Nzigilwa anasikitika kutangaza kifo Cha Padre Chrispin Elias Silung...
23/03/2025

TANZIA TANZIA TANZIA😥

Mhashamu Askofu Eusebius Alfred Nzigilwa anasikitika kutangaza kifo Cha Padre Chrispin Elias Silungu kilichotokea Jana usiku majira ya saa 4 za usiku katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi. Maziko yatafanyika siku ya Jumatano tarehe 26/3/2025 baada ya Misa ya kumuombea itakayofanyika katika Kanisa la Hija parokia ya Ilembo.Habari ziwafikie mapadre, watawa wa k**e na wa kiume,waamini na watu wote wenye mapenzi mema.Tuomuombee padre wetu Mungu ampokee kwake mbinguni. RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA..

05/03/2025

Kwaresma njema kwenu wote👋

05/03/2025

KWARESMA NJEMA👋

Mungu awasaidie ndugu zetu wa Kariakoo walioko chini watoke salama,, hawana hewa, hawana chakula, hawana maji😥😥
18/11/2024

Mungu awasaidie ndugu zetu wa Kariakoo walioko chini watoke salama,, hawana hewa, hawana chakula, hawana maji😥😥

Address

All Streets
Mpanda

Telephone

+255753098070

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when VIWAWA-Jimbo Katoliki la Mpanda posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share