Wasaidizi wa Sheria Moshi Mjini

Wasaidizi wa Sheria Moshi Mjini WASHEMOM ni shirika linalotoa huduma ya msaada wa sheria na elimu ya sheria kwa jamii (Moshi Mjini)

29/05/2026
Maisha ni hayahaya karibuni
12/05/2026

Maisha ni hayahaya karibuni

Wasaidizi wa Sheria MOSHI MJINI (washemom) wakiwa na wanafunzi Chuo kikuu cha katoliki MWENGE ambao wako kwaajili ya maf...
25/04/2026

Wasaidizi wa Sheria MOSHI MJINI (washemom) wakiwa na wanafunzi Chuo kikuu cha katoliki MWENGE ambao wako kwaajili ya mafunzo kwa vitendo Ofisi ya washemom. Wakitoa Elimu ya ukatili Club ya watoto Shule ya msingi Tumaini iliyoko kata ya Shirimatunda MANISPAA ya Moshi.

Matukio katika picha. Wasaidizi wa sheria Moshi mjini wakiwa katika mkutano Mkuu wa mwaka. Mkutano huu ulihudhuriwa na v...
07/01/2026

Matukio katika picha. Wasaidizi wa sheria Moshi mjini wakiwa katika mkutano Mkuu wa mwaka. Mkutano huu ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali k**a viongozi wa serikali ya mtaa na kata, maafisa ustawi wa jamii, na msajili msaidizi wa mashirika. Mgeni maalumu alikuwa mkuu wa dawati la jinsia Kilimanjaro.

Tulipata nafasi ya kushiriki Mkutano Mkuu wa Youth Network Tanzania na mwakilishi wetu  aliwahusia vijana juu umuhimu wa...
20/10/2025

Tulipata nafasi ya kushiriki Mkutano Mkuu wa Youth Network Tanzania na mwakilishi wetu aliwahusia vijana juu umuhimu wa kujitambua, kujithamini, kujituma na kuwa mstari wa mbele katika kupinga vitendo vya ukatili katika jamii. Mkutano huu pia ulihudhuriwa na wadau wengine wakiwemo na wengineo

Elimu kwa jamii..... Msaidizi wa sheria Bw. Anasel Temba akiwa redioni  ambapo alizungumza masuala ya ndoa.
08/09/2025

Elimu kwa jamii..... Msaidizi wa sheria Bw. Anasel Temba akiwa redioni ambapo alizungumza masuala ya ndoa.

Mkutano wa shirika: Mdau Sheikh Hashim Mmbaga (ofisa Daawa Wilaya) BAKWATA na baadaye SP. Asia Juma Natauka mkuu wa dawa...
29/08/2025

Mkutano wa shirika: Mdau Sheikh Hashim Mmbaga (ofisa Daawa Wilaya) BAKWATA na baadaye SP. Asia Juma Natauka mkuu wa dawati la jinsia la mkoa Kilimanjaro wakizungumza na kushauriana na wajumbe wengine wa mkutano (Paralegals) katika kuhakikisha jamii inaendelea kuhudumiwa kwa ukaribu na ushirikiano wa Wasaidizi wa Sheria na wadau mbalimbali.

Mwendelezo wa uelimishaji jamii kupitia redio. Msaidizi wa kisheria alipokuwa redioni Moshi FM na Banana FM kuzungumzia ...
17/08/2025

Mwendelezo wa uelimishaji jamii kupitia redio. Msaidizi wa kisheria alipokuwa redioni Moshi FM na Banana FM kuzungumzia masuala ya ukatili wa kijinsia na matunzo/malezi ya watoto.

Address

P. O. BOX 8796
Moshi
25106

Opening Hours

Monday 08:00 - 15:30
Tuesday 08:00 - 15:30
Wednesday 08:00 - 15:30
Thursday 08:00 - 15:30
Friday 08:00 - 15:30

Telephone

+255784899943

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wasaidizi wa Sheria Moshi Mjini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Wasaidizi wa Sheria Moshi Mjini:

Share