π— π—π—œ π—žπ—”π—¦π—’π—₯𝗒 𝗙𝗔𝗦𝗧 𝗙𝗒𝗒𝗗

  • Home
  • Tanzania
  • Morogoro
  • π— π—π—œ π—žπ—”π—¦π—’π—₯𝗒 𝗙𝗔𝗦𝗧 𝗙𝗒𝗒𝗗

π— π—π—œ π—žπ—”π—¦π—’π—₯𝗒 𝗙𝗔𝗦𝗧 𝗙𝗒𝗒𝗗 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from π— π—π—œ π—žπ—”π—¦π—’π—₯𝗒 𝗙𝗔𝗦𝗧 𝗙𝗒𝗒𝗗, Labor Union, TUNAPATIKANA ROUNDABOUT YA SUA, TUMETAZAMANA NA TOPLIFE HOTEL, Morogoro.

Hello wateja wetu wa Mjikasoro fast food,tunapenda kuwataarifu kuwa kuanzia Leo tarehe 7 Feb 2026 hakutakuwa na huduma n...
07/02/2026

Hello wateja wetu wa Mjikasoro fast food,tunapenda kuwataarifu kuwa kuanzia Leo tarehe 7 Feb 2026 hakutakuwa na huduma ndani ya mgahawa wetu, hii ni kutokana na kufunga Kwa muda Kwa ajili ya maboresho ya mgahawa wetu yanayolenga kuboresha huduma na mahitaji ya wateja wetu.

Huduma zetu zitatolewa Kwa njia ya delivery tu,hivyo ndugu mteja weka oda utaletewa Hadi ulipo na kwa wakati katika kipindi hiki Cha Feb Hadi mwanzoni mwa mwezi machi 2025.

Uongozi na watumishi wa Mjikasoro fast food tunapenda kuwashukuru sana wateja wetu na wadau mbalimbali kutuamini na kutupa nafasi ya kuwahudumia.Tunachukua nafasi hii ya uaminifu kuendelea kuwa Bora kwenye huduma kila siku na kufanya maboresho kila wakati kutokana na mahitaji ya wateja na mahitaji ya huduma kulingana na muda.

Kwa mawasiliano piga simu/sms/whatsap
0658748421 kwa huduma za haraka ofisini
0755748421 mbadala wahuduma na MAONI

MJIKASORO FAST FOOD "WE DELIVER YOUR NEEDS".

Hello wateja wetu wa Mjikasoro fast food,tunapenda kuwataarifu kuwa kuanzia Leo  tarehe 7 Machi hakutakuwa na huduma nda...
07/02/2026

Hello wateja wetu wa Mjikasoro fast food,tunapenda kuwataarifu kuwa kuanzia Leo tarehe 7 Machi hakutakuwa na huduma ndani ya mgahawa wetu,hii ni kutokana na kufanya maboresho Kwa ajili ya kuboresha huduma zetu na mahitaji ya wateja wetu.

Kuanzia Leo huduma zetu zitakuwepo lakini tutafanya delivery Tu Hadi mwanzoni mwa mwezi Machi 2026 tutakapofungua tena na taarifa tutawapa wateja wetu.

Uongozi na Watumishi wa Mjikasoro fast food tunapenda kuwashukuru Sana ndugu wateja na wadau wote ambao mmetuamini na kutupa nafasi ya kuwahudumia Kwa muda wote, tunawaahidi kuendelea kuwahudumia Kwa ubora na weledi zaidi.

Kwa mawasiliano piga/SMS/WhatsApp
0658748421 Kwa huduma za haraka ofisini
0755748421 Mbadala wa na.ya huduma,maoni na ushauri.
MJIKASORO FAST FOOD "WE DELIVER YOUR NEEDS"

Marry Christmas & Happy new year.Thanks our beloved customers for your support.Service contact:0658748421Altenative 0755...
25/12/2025

Marry Christmas & Happy new year.
Thanks our beloved customers for your support.
Service contact:0658748421
Altenative 0755748421

PIZZA πŸ• ZINAPATIKANAMji Kasoro Fast foodPiga simu 0658748421 / 0755748421Weka oda ya Pizza Unayohitaji
05/11/2025

PIZZA πŸ• ZINAPATIKANA
Mji Kasoro Fast food

Piga simu 0658748421 / 0755748421

Weka oda ya Pizza Unayohitaji

Wateja wetu Wapendwa wa Mji kasoro fast foodHuduma zetu za Chakula Zinaendelea Kila siku kuanzia Asubuhi saa Moja mpaka ...
03/11/2025

Wateja wetu Wapendwa wa Mji kasoro fast food
Huduma zetu za Chakula Zinaendelea Kila siku kuanzia Asubuhi saa Moja mpaka saa sita usiku

Endelea Kuweka Oda yako Ujipatie Chakula kizuri kutoka kwetu
Bila kusahau Visinia, pizza, pilau Wali samaki, Kuku, chips na vyakula vingine vyote pamoja na vinywaji kwa gharama nafuu vinapatikana pia Biryani kila Ijumaa

Tupigie 0658748421/0755748421

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
28/10/2025

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Kisinia Cha Mji Kasoro Fast food πŸ™Kuweka Oda yako piga simu 0658748421 / 0755748421Tunapatikana Morogoro Mjini Mtaa wa N...
26/10/2025

Kisinia Cha Mji Kasoro Fast food πŸ™
Kuweka Oda yako piga simu 0658748421 / 0755748421

Tunapatikana Morogoro Mjini Mtaa wa Ngoto karibu Kabisa na Round About ya Sua Tunatazamana na Top life hotel

We Deliver Your NeedπŸ“ž 0658748421πŸ“ž 0755748421
25/10/2025

We Deliver Your Need
πŸ“ž 0658748421
πŸ“ž 0755748421

Welcome, Dear Customers!It's Friday, and we're excited to serve you the best biryani in town at Mji Kasoro Fast Food!Com...
24/10/2025

Welcome, Dear Customers!
It's Friday, and we're excited to serve you the best biryani in town at Mji Kasoro Fast Food!
Come and press your biryani order today - hot, flavorful, and freshly made just for you.
Don't miss out on the perfect Friday treat!

For Order or Delivery Please

Call πŸ“ž Us 0658748421 / 0755748421

Mchemsho Wa Kuku kwa shilingi 8000/=Unapatikana Hapa Mji Kasoro Fast foodPiga simu 0658748421 au 0755748421 Weka oda yak...
23/10/2025

Mchemsho Wa Kuku kwa shilingi 8000/=

Unapatikana Hapa Mji Kasoro Fast food

Piga simu 0658748421 au 0755748421 Weka oda yako Mapema

Pia Tunafanya Delivery kwa wateja wetu waaminifu kabisa

Happy Nyerere DayKwa Wateja Wetu... πŸ™Huduma Zinaendelea kila siku Karibuni Mji kasoro fast foodTupigie 0658748421 / 0755...
14/10/2025

Happy Nyerere Day
Kwa Wateja Wetu... πŸ™

Huduma Zinaendelea kila siku Karibuni Mji kasoro fast food

Tupigie 0658748421 / 0755748421

Address

TUNAPATIKANA ROUNDABOUT YA SUA, TUMETAZAMANA NA TOPLIFE HOTEL
Morogoro

Telephone

+255658748421

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when π— π—π—œ π—žπ—”π—¦π—’π—₯𝗒 𝗙𝗔𝗦𝗧 𝗙𝗒𝗒𝗗 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category