Tanzania Agribusiness Youth & Community Empowerment-TAYCEO

Tanzania Agribusiness Youth & Community Empowerment-TAYCEO Join us and be a part of positive change in our community and leave a mark on our world.

Our decision at TAYCEO to promote tree planting and environmental improvement aims to build a better future for youth activities and community economic production.

29/04/2026
Karibu TAYCEO!Tunajivunia kuwa sehemu ya mabadiliko chanya katika jamii yetu. TAYCEO ni shirika lisilo la kiserikali lin...
16/04/2026

Karibu TAYCEO!
Tunajivunia kuwa sehemu ya mabadiliko chanya katika jamii yetu.
TAYCEO ni shirika lisilo la kiserikali linajishughulisha na shughuli za; Kuwezesha jamii kiuchumi, Elimu ya ujasiriamali na kuibua vipaji kupitia rika zote, Mazingira na Kilimo biashara, tunalenga kukuza vijana na jamii kupitia ujasiriamali na kilimo endelevu. Tunatambua kuwa jamii yetu ina uwezo wa kufanya mabadiliko kwa kutumia fursa zilizopo na kukuza ujuzi kwa ajili ya maendeleo endelevu.

Katika mradi wetu wa Lishe na mazingira, tunalenga kuboresha Afya kwa shule za msingi na sekondari na kuleta ustawi wa jamii yetu kwa kuhamasisha matumizi ya mbinu bora za kilimo, lishe na mazingira.

Jiunge nasi katika safari hii ya kuleta mabadiliko chanya na kujenga jamii yenye nguvu na endelevu.
Tafadhali fuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii ili upate taarifa zaidi ya miradi yetu, matukio, na fursa za kujifunza.

.zakaria

02/12/2024

09/09/2024
31/07/2024

PLANT TREES, SAVE THE WORLD
let's join together to protect and improve the environment of Shoronoti Valley, Kilimanjaro, Rombo - TANZANIA.
Welcome one, welcome All.

Address

P O Box 84
Mkuu

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Agribusiness Youth & Community Empowerment-TAYCEO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share