Wazalendo Movement Organization

Wazalendo Movement Organization Tujenge Taifa

18/03/2026
18/03/2026

Maonyesho ya Nishati Safi ya Kupikia Kupitia Jukwaa la Maendeleo endelevu tarehe 17/03/2026

Tumeshiriki maonyesho ya jukwaa la Maendeleo endelevu kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati na Uongozi Instute tarehe 17...
18/03/2026

Tumeshiriki maonyesho ya jukwaa la Maendeleo endelevu kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati na Uongozi Instute tarehe 17/03/2024

Tumeshifunza mambo mengi k**a ubora katika uzalishaji wa Nishati safi ya kupikia, namna ya kuliendea soko pamoja na kujisajili kikamilifu kibiasahara

06/04/2025

Mapinduzi ya Fikra mpya kwa vijana ni muhimu sana ili kuiondolea mazoea ya shughuli na kuleta urithi mpya kwa vizazi na kuleta fikra endelevu kwa mabadiliko ya jamii kidunia.

Mazingira ni Uhai na kwa kila kinachotuzunguuka ni dhahabu hata kwa kile ambacho hakina thamani kimtazamo.

WAZALENDO MOVEMENT ORGANIZATION ina kila sababu ya kufanya kupitia wabunifu vijana na kuona uwezekano wa kubadilisha msimamo wa jamii kwa vijana na kujenga Taswira na mtizamo mpya wa Vijana na kuondoa tamaduni za mazoea ya jamii

Tuko tayari kueneza elimu iitwayo HALISI KWA KIJANA ili kumuondoa kwenye tawala za fikra zilizojaa wimbi la kukata tamaa, kukatishwa tamaa na mtazamo wa kushindwa

IMETOLEWA NA OFISI YA KATIBU MKUU WA WAZALENDO MOVEMENT ORGANIZATION

05/04/2025

Wanafunzi na wakazi wa Mkuranga wakipata elimu ya Mkaa mbadala kwenye shamla shamla za mwenge wa uhuru kwenye banda ya Wazalendo Movement Organization

05/04/2025

Team ya Wazalendo Movement Organization wakiwa Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani wakishiriki katika mbio za Mwenge wa Uhuru, wakiwa kwenye Jukwa huru la Mwenge wa Uhuru walitoa Salamu za Heshima mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe. Hadija Nasri, Mbuge Wa jimbo la Mkuranga Mhe. Ulega Viongozi waandamizi wa Serikali ya JMT, vyombo vya Ulinzi na Usalama na Wananchi wa eneo la Mkiu kabla ya kutoa Burudani kupitia wasanii wao

Nae Katibu Mkuu wa Wazalendo Movement Organization Ndugu Gervas Kauzeni(BRIGHTKING) ameiomba jamii kujitokeza kushiriki uchaguzi Mkuu 2025 kwa Amani na Utulivu kupitia kauli mbiu ya Mwenge wa Uhuru isemayo *"JITOKEZE KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025 KWA AMANI NA UTULIVU"*

02/03/2025

Kheri ya Mfungo Mtukufu wa Ramadhani

29/01/2025

Karibu ujipatie mkaa mbadala safi kwa ulinzi wa misitu, usafi wa mazingira na ulinzi wa afya ya mtumiaji

Kwasababu
1. Utapunguza uakataji wa miti
2. Watu watasafisha mazingira kwa hiyari
3. Umeondolewa gasi ya Amonia kwa ulimzi wa cancer ya mapafu

Kwa mawasiliano
0625414083/0744422009/0679222009

Karibuni sana

Happybithirday Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa TanzaniaTunatanguliza Shukrani zetu kwako  Suluhu Hassan  Hussein Ali Mwi...
27/01/2025

Happybithirday Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Tunatanguliza Shukrani zetu kwako
Suluhu Hassan
Hussein Ali Mwinyi
Taifa
iendelee

Wazalendo na mapinduzi ya fikra kwa kutatua changamoto mbalimbali katika jamii ya Watanzaniakwa maslahi ya kizazi cha sa...
24/01/2025

Wazalendo na mapinduzi ya fikra kwa kutatua changamoto mbalimbali katika jamii ya Watanzania
kwa maslahi ya kizazi cha sasa na baadae k**a changamoto za mazingira,afya,elimu na Biashara.

Address

P. Box. 10
Mkuranga
NON

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wazalendo Movement Organization posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share