Iraqw people

Iraqw people Kama unaipenda kabila lako subscribe iraqw people TV gusa link hii kupata taarifa zote https://youtu.be/yTEDuy7yE1o?si=2hcwx0SyKHnJaS29
(2)

12/08/2026

Mapokezi ya wazee kutoka maeneo mbalimbali pamoja na Ngoma za Asili ya wairaqw na gorowa

Padre James Yarrot akiyanyunyizia maji ya baraka magari yanayoenda Hhayloto Mamaisara
12/08/2026

Padre James Yarrot akiyanyunyizia maji ya baraka magari yanayoenda Hhayloto Mamaisara

Msafara wa magari yanayoelekea Hhayloto Mamaisara Mbulu kwenye tukio la utakaso wa laana he wewe unatufuatilia ukiwa wap...
12/08/2026

Msafara wa magari yanayoelekea Hhayloto Mamaisara Mbulu kwenye tukio la utakaso wa laana he wewe unatufuatilia ukiwa wapi?

12/08/2026

Iraqw lawo matlee Leo ndiyo Ile siku ya utakaso wa laana Ile ya uzao wa wanaume wa Kabila la Iraqw Hhayloto Mamaisara

Tazama jinsiWalivyoingia  Mbulu wagorwa iraqw people TV subscribe like na ku share kwa marafiki wapenda utamaduni
11/08/2026

Tazama jinsi
Walivyoingia Mbulu wagorwa iraqw people TV subscribe like na ku share kwa marafiki wapenda utamaduni

Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.

Siku ya tarehe 12 mwezi wa 8 kutakuwa na Maombi ya utakaso wa laana ya uzao wa watoto wa kiume kuzikwa chini kule Hhaylo...
11/08/2026

Siku ya tarehe 12 mwezi wa 8 kutakuwa na Maombi ya utakaso wa laana ya uzao wa watoto wa kiume kuzikwa chini kule Hhayloto iraqw Daa'w tutakuwepo live YouTube channel yetu

Mambo mazuri ya wairaqw yako YouTube unachelewea wapi wewe Mwiraqw ni wakati wako sasa kuitangaza iraqw people TV Mimi k...
11/08/2026

Mambo mazuri ya wairaqw yako YouTube unachelewea wapi wewe Mwiraqw ni wakati wako sasa kuitangaza iraqw people TV Mimi kazi yangu nimeimaliza kuwaletea yaliyo mazuri kwenu k**a huna roho ya kwanini roho ya wivu kwanini kafanya hivi kuwaletea haya mambo ya wairaqw najua kabisa moyo wako unatosha kuonyesha hisia za za ukweli pia hutapita bila ya kuisubscribe channel ya habari za utamaduni asanteni endeleeni kuitangaza iraqw na utamaduni wake pia unaweza kui share kwenda kwa marafiki link hii 👇 👇 👇

Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.

Siyo Mimi ni watu wa Babati ndiyo wamepost
09/08/2026

Siyo Mimi ni watu wa Babati ndiyo wamepost

09/08/2026

Leo tutakiane siku njema k**a Kuna jambo linakusumbua sema Ee Mungu unisaidie Mwenyewe atatenda usisahau like na kucomment Amen

Iraqw laway hung Je Asili yetu kweli tumetokea Ethiopia au sisi ni watanzania halisi?
07/08/2026

Iraqw laway hung Je Asili yetu kweli tumetokea Ethiopia au sisi ni watanzania halisi?

Address


27403

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Iraqw people posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Iraqw people:

Shortcuts

  • Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization?

Share