29/04/2026
DLC Foundation inawaalika vijana wote wa kitanzania wenye umri wa miaka 18 hadi 28 na elimu kuanzia kidato Cha nne Hadi degree kujiunga nasi katika nafasi za kazi...
π Watunza kumbukumbu
π Afisa masoko
Waombaji wanapaswa kuwa tayari kufanya kazi mkoa wowote nchini.
Hii ni fursa ya kukuza taaluma Yako, kujifunza na kupata kipato cha thamani.
π Kwa maelekezo zaidi wasiliana nasi kupitia
0793411204