Mbeya Paralegal Aid Center

Mbeya Paralegal Aid Center Mbeya Paralegal Aid Organization is mainly focus on promoting community rights in particular of women and children through Community Legal Empowerment.

Mbeya Paralegal Aid Center kwa kushirikiana na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania, (thrdc), wamekuwa wakih...
25/10/2025

Mbeya Paralegal Aid Center kwa kushirikiana na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania, (thrdc), wamekuwa wakihamasisha na kutoa elimu ya Mpiga kura katika Halmashauri ya jiji la Mbeya kupitia vipindi vya Redio na .

tunatoa shukrani zetu kwa msaada na ufadhili wa vipindi vya elimu ya Mpiga kura pamoja na ufundi/mbinu za kitaalamu katika uhamasishaji ushiriki wa jamii katika michakato wa uchaguzi.

,
-Tanzania,

Tumekuwa na wakati nzuri wa mjadala kuhusu namna ambavyo Mila na tamaduni potofu zinavyoweza athiri/kwamisha ushiriki wa...
15/09/2025

Tumekuwa na wakati nzuri wa mjadala kuhusu namna ambavyo Mila na tamaduni potofu zinavyoweza athiri/kwamisha ushiriki wa kundi la katika uchaguzi.

Ni heshima yetu kuwashukuru radio na wa sheria na katika uendeshaji wa vuguvugu hili la mabadiliko.

kwa jamii salama, yenye ustawi wa Maendeleo..
una anza na Mimi pamoja na wewe,

Kutokuwepo kwa usawa wa kijinsia ndani ya jamii, imekuwa ni sehemu kubwa ya visababishi vya Ukatili wa kijinsia;   imeku...
12/09/2025

Kutokuwepo kwa usawa wa kijinsia ndani ya jamii, imekuwa ni sehemu kubwa ya visababishi vya Ukatili wa kijinsia; imekuwa ikihamasisha dhana ya usawa wa kijinsia ndani ya jamii ili kuleta usawa wa kijinsia katika kufikia, kutumia na kunufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi

Moja ya mbinu wasaidizi wa sheria wamekuwa wakitumia ni njia ya kuendesha mijadala kupitia .

🙏🙏 Wadau wetu kwa ushiririkiano na fursa mliyoipatia ili kuijengea uwezo jamii iyaishi maisha yenye usawa wa kijinsia

  imeshiriki mkutano wa Kijiji   k**a sehemu ya utekelezaji wa program yake  , Ambapo lengo lilikuwa kuiandaa jamii ishi...
10/09/2025

imeshiriki mkutano wa Kijiji k**a sehemu ya utekelezaji wa program yake , Ambapo lengo lilikuwa kuiandaa jamii ishiriki katika mpango wa matumizi ya rasilimali za umma na ili kurahisisha maendeleo

, ,z,

Address

Ruanda Ward
Mbeya

Opening Hours

Monday 08:30 - 04:00
Tuesday 08:30 - 15:30
Wednesday 08:00 - 15:30
Thursday 08:00 - 15:30
Friday 08:00 - 15:30

Telephone

+255752777788

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbeya Paralegal Aid Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Mbeya Paralegal Aid Center:

Share