Smile With Eco Tourism

Smile With Eco Tourism We envision the environment where there will be clean air,clean water,safe food,and sustained heal

16/04/2026

🤣🤣🤣😂😂😂😂😂

08/04/2026

Big shout out to my newest top fans! Mumy Da Gracious

HISTORIA KUHUSU ZIWA KISIBAZiwa Kisiba ni moja ya maziwa madogo ya volkeno yenye uzuri wa kipekee kusini mwa Tanzania hi...
03/04/2026

HISTORIA KUHUSU ZIWA KISIBA

Ziwa Kisiba ni moja ya maziwa madogo ya volkeno yenye uzuri wa kipekee kusini mwa Tanzania historia zinasema kwamba

1.Ziwa kisiba ni asili ya Kijiolojia
Ziwa Kisiba ni ziwa la volkeno la aina ya maar lililotengenezwa na milipuko ya volkeno katika uwanja wa volkeno wa Rungwe.
Inakadiriwa kuwa lilitokea takriban miaka 50,000 iliyopita.
Milipuko hiyo ilisababisha shimo kubwa ambalo baadaye lilijaa maji kutoka kwa chemchemi za chini ya ardhi Hakuna mito inayoingia au kutoka ziwa hilo moja kwa moja maji yanatokana na mvua na chemchemi za chini.
Upana wake ni takriban mita 600, na kina cha mita 70 hivi Maji yake ni safi na ya bluu na yanazungukwa na msitu mnene wa kijani kibichi

2.Na kuna historia ya Kabla ya Wakoloni
Eneo la Kisiba lilikuwa nyumbani kwa Wanyakyusa
Ziwa limeunganishwa na hadithi na mila za kienyeji za Wanyakyusa Kuna simulizi zinazoeleza asili yake k**a tukio la kipekee la asili, na wakati mwingine linahusishwa na maajabu au ulinzi wa kiroho k**a hadithi za joka au maajabu yanayofanya baadhi ya wenyeji kuogopa kuogelea majini licha ya maji kuwa safi
Karibu na ziwa kuna mti mkubwa wa Mvule wenye zaidi ya miaka 250–500, ambao ulitumika kwa mila k**a maombi ya mvua na sherehe za kitamaduni.

3. Historia ya kipindi cha Ukoloni wa Kijerumani
Mwaka 1886, Wakoloni wa Kijerumani walijenga majengo ya utawala na kituo cha kijeshi karibu na ziwa. Eneo hilo lilitumika k**a kituo cha serikali na kijeshi katika eneo la kusini mwa Tanzania na Kuna makaburi ya wakati wa utawala wa Kijerumani yanayopatikana karibu. Wakati wa Vita vya Kwanza vya Dunia (1918), askari wa Kijerumani waliposhindwa na Waingereza, kuna hadithi inayosema walitupa vitu vya thamani (k.m. sarafu za shaba) ndani ya ziwa ili zisik**atwe na adui

4. Kipindi cha Baada ya Uhuru
Baada ya uhuru wa Tanzania, ziwa limeendelea kuwa sehemu ya asili na utalii.
Leo linavutia watalii kwa shughuli k**a kuogelea, kuvua samaki, kuendesha mashua, kutazama ndege, kupiga kambi

The BLACK Cape Cobra...Still one of the nicest looking Cape Cobras I've seen!• Scientific name: Naja nivea• Venom: Predo...
02/04/2026

The BLACK Cape Cobra...
Still one of the nicest looking Cape Cobras I've seen!

• Scientific name: Naja nivea
• Venom: Predominantly neurotoxic and the most venomous cobra species in Africa

This is why going by color description isn't advised when it comes to snakes. Looking at little things like head shape, scales, and in this case, knowing the snakes in your area becomes important.

Smile with eco tourism
SNAKE LIVES MATTER

Python
02/04/2026

Python

visit Rungwe, enjoy good moment  @ smile with eco tourism
02/04/2026

visit Rungwe, enjoy good moment @ smile with eco tourism

good mornng Africa
02/04/2026

good mornng Africa

02/04/2026

with eco tourism

🦜 Parrots of the World 🦜1️⃣ Scarlet MacawBright red with blue and yellow wingsFound in tropical rainforests, known for s...
01/04/2026

🦜 Parrots of the World 🦜

1️⃣ Scarlet Macaw
Bright red with blue and yellow wings
Found in tropical rainforests, known for strong flight and loud calls

2️⃣ African Grey Parrot
Grey feathers with a red tail
Highly intelligent and known for advanced vocal mimicry

3️⃣ Hyacinth Macaw
Deep blue with a large beak
The largest flying parrot, powerful and calm

4️⃣ Sulphur-crested Cockatoo
White body with a yellow crest
Very social, expressive, and loud

5️⃣ Amazon Parrot
Green body with colorful accents
Active and vocal, often kept as companion birds

6️⃣ Blue-and-yellow Macaw
Blue back with yellow chest
Strong flyer, social, and commonly seen in pairs

7️⃣ Eclectus Parrot
Males are green, females are red and purple
Unique color difference between sexes

8️⃣ Kea
Olive-green alpine parrot
Highly curious and intelligent, lives in mountainous regions

9️⃣ Budgerigar
Small green and yellow parrot
Popular pet, active and easy to care for

Parrots vary widely in size, color, and behavior, but all are known for intelligence, strong beaks, and social nature Green Impact Technologies Kyela Envirocare and Cultural Tourism

Address

Mbeya
Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Smile With Eco Tourism posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share