Prison and Inmates Saving Foundation

Prison and Inmates Saving Foundation Deals with provision of services to prisoners and Inmates to all Prisons in Tanzania mainland.

Tukiwa kwenye Ukumbi wa Makao makuu ya Magereza Dodoma Tukijadili juu ya Kuwawezesha Wafungwa kiuchumi Baada ya kumalizi...
15/11/2023

Tukiwa kwenye Ukumbi wa Makao makuu ya Magereza Dodoma Tukijadili juu ya Kuwawezesha Wafungwa kiuchumi Baada ya kumalizia Vifungo vyao

Maofisa Magereza picha ya pamoja na Member wa PISF Tanzania ndani ya Makao makuu ya Magereza msalato
15/11/2023

Maofisa Magereza picha ya pamoja na Member wa PISF Tanzania ndani ya Makao makuu ya Magereza msalato

PISF Tanzania Tukiwa makao makuu ya Magereza Dodoma
15/11/2023

PISF Tanzania Tukiwa makao makuu ya Magereza Dodoma

Prison and Inmates Saving Foundation (PISF Tanzania) Ni Taasisi ambayo inajihusisha na utoaji wa huduma kwa Wafungwa na ...
06/10/2023

Prison and Inmates Saving Foundation (PISF Tanzania) Ni Taasisi ambayo inajihusisha na utoaji wa huduma kwa Wafungwa na mahabusu katika Magereza yote Tanzania Bara. Huduma hizo nik**a ifuatavyo;
1)Kutoa Misaada yakibinadamu katika Magereza k**a Sabuni, Mafuta yakupaka, Nyembe, Taulo zakike, Miswaki na Dawa, Shuka na Magodolo, Sukali, n.k

2) Kutoa msaada wakisheria kwa Mahabusu ambao Hawana uwezo wakifedha wakukutana na mawakili. Kwa kumtambua kuwa Mahabusu au Wafungwa Walio wengi Magerezani Hawana uwezo kifedha hivyo hupelekea kuendelea kusota Magerezani pasipo msaada wowote.

3) Kuwafariji Wafungwa na mahabusu Magerezani kwa kufanya nao ibada za kidini.

4) Kuwawezesha kiuchumi walio maliza Vifungo vyao kwa kufanya nao shughuli tofauti tofauti za uzalishaji ili waweze kupata Mitaji wakaendelee na shughuli za ujasiliamali ili kukuza pato la Taifa letu.

5) Kuwaongezea Ujuzi Wafungwa na mahabusu waliomo magerezani, Kwa kutambua kuwa Asilimia kubwa ya wafungwa/ Mahabusu wanakuwa na talent/ vipaji vyao, Hivyo huperekea vipaji hivyo kuzolota.

6) Kuhakikisha Wafungwa wa Vifungo vya nje nao Wanawezeshwa kiuchumi pia.

PISF members Ndani ya Gereza la ISISI Mbarali
02/10/2023

PISF members Ndani ya Gereza la ISISI Mbarali

Taasisi ya Prison and Inmates Saving Foundation(PISF Tanzania) Inayo jihusisha na utoaji wa huduma Kwa Wafungwa na mahab...
01/10/2023

Taasisi ya Prison and Inmates Saving Foundation(PISF Tanzania) Inayo jihusisha na utoaji wa huduma Kwa Wafungwa na mahabusu Magereza yote Tanzania baraTukiwa katika Gereza la Mbarali Isisi tukitoa mahitaji mbali mbali Yakibinadamu.

Address

Rujewa
Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prison and Inmates Saving Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Prison and Inmates Saving Foundation:

Share