25/11/2025
UWASHEM yafanya Mdahalo wa Kutatua Mgogoro kati ya Wakulima wa Mwani na Wavuvi β Kata ya Boma ππ€
Tarehe 20 Novemba 2025, Umoja wa Wasaidizi wa Sheria Mkinga (UWASHEM) umefanya mdahalo wa wazi katika Kata ya Boma, wenye lengo la kutatua mgogoro uliokuwepo kati ya wakulima wa mwani na wavuvi.
Mdahalo huu uliwaleta wadau pamoja kujadiliana kwa uwazi, kubaini chanzo cha changamoto, na kuweka mikakati ya kudumisha amani, ushirikiano, na matumizi endelevu ya rasilimali za bahari π±π.
Kazi hii ni sehemu ya mradi βKujenga Uwezo kwa Matumizi Bora ya Bahari,β unaotekelezwa na UWASHEM kwa ufadhili wa 4H Tanzania pamoja na WeWorld πβ¨.
UWASHEM inaendelea kujenga jamii yenye haki, amani na ustawi kwa wote π€²π½π.