LADY'S SHINE

LADY'S SHINE Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from LADY'S SHINE, Non-Governmental Organization (NGO), Loliondo, Loliondo.

25/12/2025

Receive our wishes #

girls wizarayaafya

25/12/2025

Heri ya Christmas wadau wetu na Tanzania nzima. Tunamshukuru kwa kibali cha kuendelea kuhudumia jamii yetu. Mungu awatunze sana mwakani tufanye kazi kwa bidii zaidi.

21/11/2025

Wazazi na walezi. Usikubali binti yako akae mtaani bila kitu cha kufanya. Mlete apate mafunzo yatakayomsaidia kujikwamua kiuchumi. Pia wale wanaomaliza kidato cha nne. Muda mnasubiri matokeo ndio muda mzuri aa kuongeza ujuzi. Fika ofisini kwetu Kibaha karibu na soko la Loliondo. Au tupigie. 0717684690.

Karibuni sana, wazazi na walezi...tumeanza program ya kuinua mabinti kiuchumi kupitia mafunzo ya urembo na ushonaji. Mah...
15/11/2025

Karibuni sana, wazazi na walezi...tumeanza program ya kuinua mabinti kiuchumi kupitia mafunzo ya urembo na ushonaji. Mahali n ofisini Kibaha Mailimoja karibu na soko la Loliondo. Kumbuka binti au mwanamke akiweza kujitegemea kiuchumi inapunguza ukatili kwenye jamii. Kwa mawasiliano zaidi. 0717684690. Au 0753467674. .headway .4change .pool #

31/08/2025

Natoa shukrani za dhati kwa uongozi wa shule ya msingi zegereni kwa kuona mchango wetu kwenye jamii na kumualika Mkurugenzi wetu kuwa mgeni rasmi kwenye maafali ya 1 akiwa mgeni rasmi wa 1 . Pia niwapongeze sana kwa kutumia vyema teknolojia, badala ya ushairi na utenzi ulikua ubunifu qa nyimbo za kisasa zilizotungwa na wanafunzi wemyewe na kusaidiwa na walimu kurekodi. Hongereni sana. ❤️💞❤️ £

Asanteni sana Zegereni. Pongezi nyingi kwa wahitimu. MUNGU awape kibali kwenye safari mpya ya Sekondari.                ...
30/08/2025

Asanteni sana Zegereni. Pongezi nyingi kwa wahitimu. MUNGU awape kibali kwenye safari mpya ya Sekondari. ❤️💞❤️ 🥀🙏🏻✔️🙏🏻 #⃣*⃣ #⃣*⃣ #⃣*⃣ #⃣*⃣ #⃣*⃣ #⃣*⃣ #⃣*⃣ #⃣*⃣ #⃣*⃣

Karibuni sana, tujifunze pamoja, tuzungumze kuhusu Afya ya Akili, utajifunza mengi sana, weekend hii tufatilie kwenye mi...
20/08/2025

Karibuni sana, tujifunze pamoja, tuzungumze kuhusu Afya ya Akili, utajifunza mengi sana, weekend hii tufatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii. YouTube, Instagram, na Facebook . .victoryah

Ni vizuri kwa binti kujifunza ujasiriamali kwani ni msingi bora wa kujikwamua kiuchumi. Tunashukuru shirika la DMI kuend...
16/08/2025

Ni vizuri kwa binti kujifunza ujasiriamali kwani ni msingi bora wa kujikwamua kiuchumi. Tunashukuru shirika la DMI kuendelea kutuamini katika kushirikiana kusaidia mabinti kukua kiuchumi. Pia tunapongeza kazi kubwa inayofanywa na DMI katika kusaidia mabinti kuweza kujitegemea kiuchumi. ❤️💞❤️ 🥀🙏🏻✔️🙏🏻 #⃣*⃣ #⃣*⃣ #⃣*⃣ #⃣*⃣ #⃣*⃣ #⃣*⃣ #⃣*⃣ #⃣*⃣ #⃣*⃣

Tunawatakia wakulima wote na watanzania wote. Heri ya siku ya nanenane. Kilimo ndio kinaleta maendeleo mengi na familia ...
08/08/2025

Tunawatakia wakulima wote na watanzania wote. Heri ya siku ya nanenane. Kilimo ndio kinaleta maendeleo mengi na familia nyingi watu wamesomeshwa kwa kilimo na kilimo ndio msingi wetu mkuu wa maendeleo.

Unafikiri ni kitu gani sahihi kifanyike ili kuleta usawa kwenye jamii??.. mjadala ulioratibiwa na Policy Forum kwa kushi...
31/07/2025

Unafikiri ni kitu gani sahihi kifanyike ili kuleta usawa kwenye jamii??.. mjadala ulioratibiwa na Policy Forum kwa kushirikina na viongozi mbalimbali wa Taasisi n Asasi za Kiraia, Viongozi wa dini n wadau mbalimbali.

Address

Loliondo
Loliondo

Telephone

+255717684690

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LADY'S SHINE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to LADY'S SHINE:

Share