Swahili Community organization

Swahili Community organization Is independence non profit organization in registered in Tanzania Mainland

Swahili Community organization Imeweza kuwajengea Uwezo Vikundi  Viinne(04) vya Somanga KaskaziniMafunzo ayo yametolewa ...
09/07/2025

Swahili Community organization Imeweza kuwajengea Uwezo Vikundi Viinne(04) vya Somanga Kaskazini

Mafunzo ayo yametolewa kwenye ofisi ya Swahili Community na Kuhuzuliwa na Viongozi wa Vikundi 4 vya kijamii

Huu ni Mwendelezo wa mafunzo Usimamizi wa Rasimali za pwani na Bahari kwenye Mpango kazi wake Ushiriki wa Wanajamii kwenye Uhifadhi na Upandaji wa Nyasi Bahari na Ufugaji wa Majongoo Bahari.

Swahili Community Organization Kimeweza Kutoa  elimu wamama watandaji namna ya kuanzisha vikundi vya utandaji wa uduvi n...
27/06/2025

Swahili Community Organization Kimeweza Kutoa elimu wamama watandaji namna ya kuanzisha vikundi vya utandaji wa uduvi na kamba miti.

Pia Swahili Community Organization imeweza kuwasaidia wamama watandaji gharama za kuandaa katiba ili waweze kisajili vikundi hivy
o Baada hapo Tumewaza kuwakabidhi Katiba za Vikundi Hivyo.

Haya yote Ni Muendelezo Mpongo wa Upandaji wa Nyasi Bahari.

Kikao hicho kilihudhuriwa na Mwenyekiti na mtendaji wa kijiji cha Somanga kaskazini 2
Afisa Uvuvi Somanga 1
Afisaaendeleo kata Somanga 1
Wamama watandaji 35
Wababa Wanajamii 2
Swwhili Community Organization 2
Jumla ya wahiriki 43
Kati ya hao Me 8 ke 35

Swahili Community organization Tumeweza kutoa Elimu ya Umuhimu Utunzaji wa Nyasi Bahari  kwa Mama Wanaojishughulisha na ...
19/06/2025

Swahili Community organization Tumeweza kutoa Elimu ya Umuhimu Utunzaji wa Nyasi Bahari kwa Mama Wanaojishughulisha na Utandaji wa Samaki na Kamba Miti.

Uelimishaji huo umefanyika katika Ofisi ya Serikari ya Kijiji cha Somanga kaskazini jumla ya Wanawake 27 na Uwongozi wa Serikari ya Kijiji waliuzulia Kwenye mafunzo hayo.

Address

Somanga-Kilwa
Kilwa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahili Community organization posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share