Kigoma ndio kwetu

Kigoma ndio kwetu KWA PAMOJA TUTAIJENGA KIGOMA YETU
(1)

Rasini - Kibirizi 😍
11/08/2026

Rasini - Kibirizi 😍

Ulicheza mpira k**a huu ukiwa kigoma sehemu gani?
11/08/2026

Ulicheza mpira k**a huu ukiwa kigoma sehemu gani?

Karibuni kijiji cha Malenga- Kakonko 😍
11/08/2026

Karibuni kijiji cha Malenga- Kakonko 😍

Kutoka Muyobozi uelekeo ni Mwakizega hadi Ilagala 😍
11/08/2026

Kutoka Muyobozi uelekeo ni Mwakizega hadi Ilagala 😍

Kumekucha salama kutokea kigoma kusini, Samaki mmoja ni Tsh 1,000/= 😍
11/08/2026

Kumekucha salama kutokea kigoma kusini, Samaki mmoja ni Tsh 1,000/= 😍

Wataje jina la samaki hawa 😍
10/08/2026

Wataje jina la samaki hawa 😍

Kibirizi 😍
10/08/2026

Kibirizi 😍

WAHAMIAJI 30 WAKAMATWA MKOANI KIGOMA β€Žβ€ŽOfisi ya Uhamiaji Kanda Maalumu ya Kigoma ikiongozwa na Mkuu wa Operesheni ACI Ch...
10/08/2026

WAHAMIAJI 30 WAKAMATWA MKOANI KIGOMA
β€Ž
β€ŽOfisi ya Uhamiaji Kanda Maalumu ya Kigoma ikiongozwa na Mkuu wa Operesheni ACI Christian Mndeme imek**ata watuhumiwa 30 kufuatia zoezi la doria na Misako lililofanyika Usiku wa kuamkia leo 10 Agosti, 2026 katika maeneo ya Stendi ya Mabasi Masanga na Kizuizi cha Simbo kilichopo kata ya Simbo Kigoma vijijini Mkoani Kigoma.
β€Ž
β€ŽWatuhumiwa hao wamek**atwa wakisafiri kwenda Maeneo mbalimbali ya Tanzania bara wengi wao ni kutokea Mataifa ya Burundi ,na Congo.
β€Ž
β€ŽAidha,watuhumiwa hao watafikishwa Mahak**ani kwa kosa la kuingia na kuishi nchini bila kibali.
β€Ž
β€ŽOfisi ya Uhamiaji kanda Maalumu ya kigoma inaendelea kufuata sheria na taratibu za Uhamiaji ili kudhibiti wageni wanaokiuka sheria na taratibu za nchi yetu.
β€Ž
β€ŽπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
β€ŽπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

β€Ž

Haya matunda kwenu mnayaitaje?😍
10/08/2026

Haya matunda kwenu mnayaitaje?😍

"Mimi nimeanza hii campaign tangu mwaka jana hususani kwa wahitimu wa kidato cha 4. Wale wote ambao hawatofanikiwa kucha...
10/08/2026

"Mimi nimeanza hii campaign tangu mwaka jana hususani kwa wahitimu wa kidato cha 4. Wale wote ambao hawatofanikiwa kuchaguliwa kuendelea kidato cha 5 au vyuo nimekuwa nikiwaelimisha umuhimu wa kuwa na fani na kuwaunganisha na vyuo wasiishie mitaani waende VETA, FDC au Chuo cha Kilimo Mbondo. Vyuo vyote vina fani za kimkakati lakini udahiri uko chini havina wanachuo wa kutosha na ada ni ndogo. Kwa wenye uwezo wanaweza kujiunga TIA.

Hebu kiila mtu alisemee hili kwa vijana, Mkoa wetu ndio huo unafunguka sasa fursa ni nyingi sana hadi nyingine zimekosa watendaji"- Mdau

Address

Kasulu
Kigoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kigoma ndio kwetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share