Jerusalem Orphanage

Jerusalem Orphanage We raise orphaned, abandoned, and vulnerable children in Dar es Salaam.

10/06/2026

Tunajivunia kutangaza kuwa imepokea mwaliko rasmi wa kushiriki katika Jerusalem Children Home Marathon Season 5. Tupo tayari kuungana kwa ajili ya afya, mshikamano na kuleta tabasamu kwa watoto. 💙💪

Wiki 5 zimebaki!Jiunge nasi kwenye Jerusalem Children’s Home Marathon Season 5-mbio zenye maana, zinazounganisha jamii n...
08/06/2026

Wiki 5 zimebaki!

Jiunge nasi kwenye Jerusalem Children’s Home Marathon Season 5-mbio zenye maana, zinazounganisha jamii na kujenga matumaini kwa watoto wa New Jerusalem huko Mwasonga, mahali patakapo wahudumia na kuwainua zaidi ya watoto 100 kutoka mazingıra magumu.

Jisajili sasa na uwe sehemu ya mabadiliko haya!

06/06/2026

Tunajivunia kutangaza kuwa Dresa Modern Butchery imepokea mwaliko rasmi wa kushiriki katika Jerusalem Children Home Marathon Season 5.

Tupo tayari kushiriki kwa ajili ya kuimarisha afya, mshikamano na kuleta tabasamu kwa watoto wetu.

Wiki 6 zimebaki!Jiunge nasi kwenye Jerusalem Children’s Home Marathon Season 5—mbio zenye maana, zinazounganisha jamii n...
06/06/2026

Wiki 6 zimebaki!

Jiunge nasi kwenye Jerusalem Children’s Home Marathon Season 5—mbio zenye maana, zinazounganisha jamii na kujenga matumaini kwa watoto wa New Jerusalem huko Mwasonga, mahali patakapo wahudumia na kuwainua zaidi ya watoto 100 kutoka mazingira magumu.

Jisajili sasa na uwe sehemu ya mabadiliko haya!

05/06/2026

Tunajivunia kutangaza kuwa Star Gym imepokea mwaliko rasmi wa kushiriki katika Jerusalem Children Home Marathon Season 5. Tupo tayari kuungana kwa ajili ya afya, mshikamano na kuleta tabasamu kwa watoto. 💙💪

03/06/2026

📢 Calling all businesses, organizations, and entrepreneurs!

Secure your exhibition booth at Jerusalem Children’s Home Season 5 and connect with 1,500+ attendees.

Promote your brand, showcase your services, and discover new market opportunities.

Book your booth today!

31/05/2026

Asanteni sana marafiki wa Jerusalem kwa mchango wenu wa mahitaji mbalimbali. Mungu awabariki kwa moyo wenu wa upendo🙏.

Karibuni tuendelee kushirikiana katika mahitaji yaliyobaki ili kuendelea kubadilisha maisha ya watoto wetu🙏.

30/05/2026

Kumbuka wema unaopanda leo,huzaa baraka kesho.

Jisajili sasa Jerusalem Children’s Home marathon Season 5.

27/05/2026

Karibu ushiriki nasi kwenye Jerusalem Children’s Home Marathon Season 5, yenye lengo la kuchangia fedha kwa ajili ya ujenzi wa makao salama ya watoto zaidi ya 40 wanaotoka katika mazingira magumu.

Address

Block 15, Shangwe, Kibada
Kigamboni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jerusalem Orphanage posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share