Dolphin Fursa Tele

Dolphin Fursa Tele A fountain of Peace, Knowledge and Joy.

23/04/2026
17/04/2026

Read Top News in India and around the World on Times of India. Breaking news coverage and analysis on US presidential election, politics, current affairs, business & sports.

Tuendelee kujipatia maarifa. Leo tujifunze: Biblia inasema nini juu divai. DIBAJIDivai ni kileo kinachotengenezwa kwa ma...
16/04/2026

Tuendelee kujipatia maarifa.

Leo tujifunze: Biblia inasema nini juu divai.

DIBAJI
Divai ni kileo kinachotengenezwa kwa majimaji ya mmea wa zabibu.

Pengine zabibu huitwa pia mvinyo (kutoka Kireno "vinho"). Neno divai linaweza kubeba maana ya vileo vikali zaidi zaidi ya divai.

AINA ZA DIVAI
Kuna aina mbili za divai: divai nyekundu na divai nyeupe.

UANDAAJI
Maji ya zabibu huwa divai kwa kuchachuka kwa sukari iliyomo ndani yake.

Zabibu hupondwa zikiachwa katika chombo kikubwa Kwa kuchachua. Maji ya zabibu huwa na sukari nyingi pamoja na asidi ndani yake inayohitajika kwa ladha inayohitajika.

Divai safi haitakiwi kuongezwa chochote. Nyongeza inatokea k**a sukari iliyopo kwanye zabibu haitoshi. Kazi ya kuchachua inaendelea kutokana na hamira asilia zinazokaa kwenye maganda lakini inawezekana kuongeza hamira k**a iliyomo haitoshi.

HISTORIA
Kuna dalili za kiakiolojia kwamba divai ilianza kupatikana huko Uajemi miaka 5000 KK.

KUENEA
Divai imekuwa sehemu ya utamaduni wa nchi hasa Mashariki ya Kati na nchi kandokano ya Mediterania. Kwa namna ya pekee sana warona wa kale waliipeleka katika sehemu zote za dola lao.

KILIMO CHA MIZABIBU
Kilimo cha mizabibu hutegemea hali ya tabianchi yenye kiwango cha jua cha kutosha na mvua ya wastani. Katika tabianchi za kaskazini mwa Ulaya mizabibu haistawi.

DIVAI KATIKA DINI
Divai iliingia pia katika dini za Misri, Babeli, na Ugiriki ya Kale.

Katika Biblia.
Nuhu anatajwa kuwa mnywaji wa kwanza wa divai. Katika kitabu cha Zaburi divai ni ishara ya furaha wakati kitabu cha Mithali kinatueleza kuwa divai ni dawa ya mwnye huzuni lakini pia kuna maonyo dhidi ya hatari ya ulevi.

Kitabu cha Yishua bin Sira 31: 27 - 29 kinasema "Kwa wanadamu mvinyo ni k**a maji ya uzima, ukinywa kwa kiasi. Je, anao uzima gani mtu mtu asiye na mvinyo? Nayo imeumbwa ili kuwafurahisha wanadamu. Mvinyo ni furaha ya moyo na changamko ya roho, ikinywewa kwa wakati wake na ya kutosha. Lakini kunywa mno ni uchungu wa roho, na fesheha na ugomvi"

Katika Agano jipya Yesu Kristo anatumia divai na mzabibu k**a ishara za uzima wa milele na pia kwa umoja wa watakatifu.

Jinsi ilivyo katika Uyahudi kwanye ibada ya jioni ya Sabato, divai ni sehemu za ibada ya Ekaristi au chakuka cha Bwana.

15/04/2026
Jamani habari gani?Taarifa. Ninauza ardhi. Ukubwa wa eneo: Upana ni mita 20 na urefu ni mita 20.Bei ni 8,000,000/= (Shil...
22/12/2025

Jamani habari gani?

Taarifa.

Ninauza ardhi.

Ukubwa wa eneo: Upana ni mita 20 na urefu ni mita 20.

Bei ni 8,000,000/= (Shilingi Milioni Nane tu).

Unaweza kujipatia idadi kadhaa ya viwanja hivyo.

Eneo lipo Kibaha mtaa wa Kilimahewa kata ya Tangini.

Kuna miundomsingi yote: Barabara, umeme na maji.

Pia kuna taasisi za serikali: shule moja ya msingi, shule moja ya sekondari, na zahanati moja na Taasisi ya Chanjo Tanzania. Pia kuna taasisi za dini: msikiti, na makanisa.

Umbali wa kilometa tatu au nne kutoka kwenye eneo hili kuna bandari kavu ndogo iliyopo kando ya barabara kuelekea Bagamoyo. Ni k**a kilometa tano au sita hivi kutoka stendi kuu ya mabasi Kibaha.

Kwa mawasiliano piga simu namba 0749611021.

Karibuni.

Ni organic! Inatengenezwa kutokana na mimea bila kemikali zozote. Piga simu namba 0749611021 ujipatie yako.
22/11/2025

Ni organic! Inatengenezwa kutokana na mimea bila kemikali zozote. Piga simu namba 0749611021 ujipatie yako.

Ili kujipatia suluhisho kwa changamoto hii piga simu namba 0749611021
22/11/2025

Ili kujipatia suluhisho kwa changamoto hii piga simu namba 0749611021

Kwa maelezo zaidi piga 0749611021
22/11/2025

Kwa maelezo zaidi piga 0749611021

Address

P. O BOX 30862 Kilimahewa
Kibaha

Telephone

+255749611021

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dolphin Fursa Tele posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Dolphin Fursa Tele:

Share