SokoDig

SokoDig Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from SokoDig, Community Service, Nyarugusu Camp, Kasulu.

SokoDig | Soko la Kidijitali la Jamii
πŸ›’ Jukwaa namba #1 kwa wajasiriamali na wakimbizi kukuza biashara zao.
πŸ“ Pata bidhaa, bei, na anuani ya muuzaji karibu nawe.
πŸš€ Jiunge na soko letu sote leo! πŸ‘‡
🌐 sokodig.com

ingia kwenye tovuti yetu  .com ujipatie bodhaa unavyo vitaka Kwa bei raisi
22/06/2026

ingia kwenye tovuti yetu .com ujipatie bodhaa unavyo vitaka Kwa bei raisi

Karibuni
22/06/2026

Karibuni

Ukipendeza, tunafurahi! Na ukila vizuri, tunafurahi zaidi! ❀️Karibu SokoDig, duka lako la mtandaoni lenye bidhaa bora na...
08/06/2026

Ukipendeza, tunafurahi! Na ukila vizuri, tunafurahi zaidi! ❀️

Karibu SokoDig, duka lako la mtandaoni lenye bidhaa bora na za kipekee kwa bei inayojali mfuko wako. Kuanzia mavazi ya kitamaduni hadi bidhaa za nyumbani.

πŸ›’ Gusa link hii kuperuzi na kuagiza sasa: sokodig.com
πŸš€ Tunatuma popote nchini kwa usalama wa 100%!

✨ VITU VIPYA, BEI NZURI NDANI YA JAMII YAKO! ✨Je, unatafuta Vitenge vya kijanja, Super Wax ya ukweli, au bidhaa bora kab...
08/06/2026

✨ VITU VIPYA, BEI NZURI NDANI YA JAMII YAKO! ✨

Je, unatafuta Vitenge vya kijanja, Super Wax ya ukweli, au bidhaa bora kabisa za chakula kwa ajili ya familia yako? Huna haja ya kuhangaika juani tena!

SokoDig tumekusogezea kila kitu karibu yako. Kazi yako ni kuchagua tu, na sisi tunakuletea popote ulipo! πŸ˜‰

πŸ›οΈ Angalia baadhi ya ofa zetu za leo:

Kitenge cha Kijanja β€” TSh 26,000

Super Wax ya Kuvutia β€” TSh 230,000

Bogolan & George za Kipekee!

🌐 Fanya manunuzi sasa hivi kupitia: sokodig.com
πŸ“ž Wasiliana nasi/WhatsApp: https://sokodig.com/contact

πŸš€ Nunua. Uuze. Faida Upate na SokoDig! πŸ›’Je, una bidhaa unataka kuuza au unatafuta bidhaa kwa bei nzuri?SokoDig ni suluhi...
15/05/2026

πŸš€ Nunua. Uuze. Faida Upate na SokoDig! πŸ›’

Je, una bidhaa unataka kuuza au unatafuta bidhaa kwa bei nzuri?
SokoDig ni suluhisho lako la biashara mtandaoni β€” rahisi, salama na la kuaminika! πŸ’šπŸ§‘

Kupitia SokoDig unaweza:
βœ… Kuuza bidhaa zako kwa urahisi
βœ… Kufikia wateja wengi zaidi
βœ… Kununua bidhaa bora kwa bei nafuu
βœ… Kufanya biashara popote ulipo, muda wowote

🌍 Jiunge nasi leo na uanze safari yako ya biashara kidigitali.

🌐 Tembelea: www.sokodig.com

SokoDig – Soko la Leo, Faida ya Kesho.

πŸ›’ Karibu SokoDig – Marketplace yako ya mtandaoni!Je, unatafuta sehemu rahisi na salama ya kununua au kuuza bidhaa zako?S...
15/05/2026

πŸ›’ Karibu SokoDig – Marketplace yako ya mtandaoni!

Je, unatafuta sehemu rahisi na salama ya kununua au kuuza bidhaa zako?
SokoDig ni jukwaa lako la kuaminika la kufanya biashara kwa urahisi zaidi! πŸš€

βœ… Nunua bidhaa bora kwa bei nafuu
βœ… Uza bidhaa zako haraka
βœ… Fikia wateja wengi zaidi
βœ… Salama, rahisi na haraka kutumia

🌐 Tembelea sasa: www.sokodig.com

SokoDig – Soko lako, Faida yako! πŸ’šπŸ§‘

πŸ‘Ÿ Biashara yako iko mkononi mwako na SokoDig!Unauza viatu au bidhaa nyingine?Sasa ni rahisi kufikia wateja wengi zaidi k...
27/04/2026

πŸ‘Ÿ Biashara yako iko mkononi mwako na SokoDig!
Unauza viatu au bidhaa nyingine?
Sasa ni rahisi kufikia wateja wengi zaidi kupitia SokoDig
βœ… Weka bidhaa zako mtandaoni kwa urahisi
βœ… Pata wateja wapya kila siku
βœ… Ongeza mauzo na kipato chako
Usibaki nyuma β€” anza leo kuuza kidigitali! πŸš€
πŸ”— Tembelea: www.sokodig.com⁠�

🌿 Fungua milango ya fursa na SokoDig!Ukiwa na SokoDig unaweza:βœ… Kununua na kuuza bidhaa kwa urahisiβœ… Kupata wateja wapya...
27/04/2026

🌿 Fungua milango ya fursa na SokoDig!
Ukiwa na SokoDig unaweza:
βœ… Kununua na kuuza bidhaa kwa urahisi
βœ… Kupata wateja wapya haraka
βœ… Kuongeza kipato chako kila siku
Usikose nafasi hii β€” jiunge leo na anza kubadilisha maisha yako!
πŸ”— Tembelea: www.sokodig.com⁠�

23/04/2026

With SokoDig – I just made it onto their weekly engagement list by being one of their top engagers!

Biashara ni watu, na watu ni jamii. SokoDig imekuja kurudisha nguvu ya biashara mikononi mwa jamii yetu! 🀝✨Tunajenga mfu...
22/04/2026

Biashara ni watu, na watu ni jamii. SokoDig imekuja kurudisha nguvu ya biashara mikononi mwa jamii yetu! 🀝✨

Tunajenga mfumo ambao kila mmoja ananufaikaβ€”muuzaji anapata mteja, na mnunuzi anapata ubora. Je, ungependa kuwa sehemu ya safari hii tangu mwanzo?

Gusa kitufe cha FOLLOW kujiunga na familia ya SokoDig. Hapa hatuuzi bidhaa tu, tunajenga uchumi imara wa kidijitali kwa ajili yetu sote.

Tukutane ndani! 🏁

Address

Nyarugusu Camp
Kasulu
623638

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SokoDig posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share