15/07/2025
Salaam za pongezi kwako Mh , hakika umeitende haki wizara! Umeweza kutumia TEHAMA ipasavyo na hilo limechochea matukio mengi kukufikia kwa wakati. Yapo machache ya kuendelea kuboresha hasa kuongeza bajeti na kuendelea kubuni njia nyepesi za kufikisha taarifa za matukio ya ukatili.
Tunatamani kukuona tena katika wizara hii kwenye awamu ijayo, tunakutakia kila la heri mama! Hakika umejitahidi kadri ya uwezo wako. Tunakupenda.