Benedicta MREMA

Call

Benedicta MREMA 🎀 Professional MC | Event Moderator
πŸ“’ Communications & Advocacy Professional. Elevating events. Inspiring conversations. Creating impact.

21/09/2026
Kila jukwaa lina hadithi yake. Kazi yangu ni kuhakikisha sauti, watu na ujumbe vinafika. 🎀Wiki hii nilipata fursa ya kuw...
11/09/2026

Kila jukwaa lina hadithi yake. Kazi yangu ni kuhakikisha sauti, watu na ujumbe vinafika. 🎀

Wiki hii nilipata fursa ya kuwa Event Host/MC katika uzinduzi wa Tanzania NextGen Leaders Fellowship – Cohort 2, uliofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ukiwakutanisha vijana 100 ambao ni wahitimu wa Kidato cha Sita wa mwaka 2026, waliokuwa katika nafasi mbalimbali za uongozi wakiwa shuleni, na sasa wanaendelea kujenga uwezo wao kwa ajili ya uongozi wa kizazi kijacho.

Mgeni Rasmi, Dkt. Kedmon Elisha Mapana, Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, alifungua rasmi Cohort 2, akitoa msisitizo kuhusu nafasi ya vijana katika kujenga Tanzania ya baadaye.

Ilikuwa fursa nzuri kushuhudia mijadala, mitazamo na nguvu ya kizazi kinachojiandaa kushiriki katika kuijenga Tanzania ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050.I am gratefull to The African Leadership Initiative for Impact (ALII) ,Tanzania Next-Generation Leadership Fellowship - TNLF for the opportunity to be part of this important space. ✨

30/08/2026

Thank you Nairobi...Bless you Wizara ya Elimu Kwaya- Nairobi Kenya..MLISHIKILIA WINGU throughout the Conference...

29/08/2026
I had the opportunity to contribute to a session on AI and Learning, exploring how we can harness AI and technology to i...
28/08/2026

I had the opportunity to contribute to a session on AI and Learning, exploring how we can harness AI and technology to improve teaching and learning, empower teachers, and ensure no learner is left behind.

But this requires deliberate efforts, strategic investment, and systems that are ready to embrace and sustain meaningful change.

🌍


πŸ—£οΈ

Moments that stretch my perspective and remind me that growth comes from being around excellence. Watching you Global Co...
24/08/2026

Moments that stretch my perspective and remind me that growth comes from being around excellence.

Watching you Global Corporate Host | Certified Public Speaker | Actress |, an Exceptional CONFIDENCE ARCHITECT; Embody confidence, grace, and intentionality continue to inspire my own journey

Let's keep the fire πŸ”₯ burning!

Address

Dar Es Salaam

Telephone

0713068991

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Benedicta MREMA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share