23/07/2026
CARING HEARTS (CAHE) KUSHIRIKI MKUTANO MKUU WA 15 WA THRDC 2026
Taasisi ya Caring Hearts (CAHE), k**a Mwanachama wa Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC), inatarajia kushiriki katika Mkutano Mkuu wa 15 wa THRDC 2026, utakaofanyika kesho, tarehe 24 Julai 2026, katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi katika Mkutano huo atakuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi.
CAHE: Tukiungana, tunalinda na kutetea haki za binadamu.