The Sunshine Muslim Volunteers_Tz

The Sunshine Muslim Volunteers_Tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from The Sunshine Muslim Volunteers_Tz, Community Organization, Ilala, Ilala.

Picha ya pamoja iliyowakutanisha chama cha madaktari wa dini ya kiislam dunian .fima huko Kuala Lumpur Malaysia
26/10/2023

Picha ya pamoja iliyowakutanisha chama cha madaktari wa dini ya kiislam dunian .fima huko Kuala Lumpur Malaysia

Alhamdulillah siku ya leo Tumebahatika kuhudhuria Kikao cha FIMA hapa Kuala lumpur Malaysia. Tumeshiriki tpamoja na wenz...
25/10/2023

Alhamdulillah siku ya leo Tumebahatika kuhudhuria Kikao cha FIMA hapa Kuala lumpur Malaysia. Tumeshiriki tpamoja na wenzetu wa vyama vya Madkatr waislam Duniani kutoka nchi 24. Tutazungumza na kutoa riport zetu kwa undani juu ya kile tunachokifanya ktk nchi zetu. In sha Allah

DID YOU KNOW????
22/10/2023

DID YOU KNOW????

Jummah Mubarak
20/10/2023

Jummah Mubarak

Kumbukizi
19/10/2023

Kumbukizi

Mola wangu mlezi, warehemu wazazi wangu k**a walivonilea utotoni...Surat al israa (24)Like us on Facebook  volunteers_tz...
18/10/2023

Mola wangu mlezi, warehemu wazazi wangu k**a walivonilea utotoni...
Surat al israa (24)
Like us on Facebook volunteers_tz

Sahih muslim
17/10/2023

Sahih muslim

Nyerere day 📌
14/10/2023

Nyerere day 📌

ZIJUE FAIDA ZA KUNYWA MAJI
13/10/2023

ZIJUE FAIDA ZA KUNYWA MAJI

Surat al anbiyaa Aya ya 87
11/10/2023

Surat al anbiyaa Aya ya 87

Tupate kupitia account zetu za social media (Instagram)The sunshine muslim volunteer (Facebook)(tictok)
10/10/2023

Tupate kupitia account zetu za social media
(Instagram)
The sunshine muslim volunteer (Facebook)
(tictok)

*RIPORT FUPI YA ZIARA YA SHAMBA**ALHAMDULILLAH ALHAMDULILLAH ALHAMDULILLAH*Ziara yetu imefanyika Salama kwa watu kwenda ...
09/10/2023

*RIPORT FUPI YA ZIARA YA SHAMBA*

*ALHAMDULILLAH ALHAMDULILLAH ALHAMDULILLAH*

Ziara yetu imefanyika Salama kwa watu kwenda Nyamato na Kurudi.

Ziara ilikuwa na usafiri wa Aina mbili. Pamoja +private.

Jumla ya Magari yoye yaliyokuwa kwenye msafara ni 8 Yakiwa yamebeba Watu zaidi ya 55.

Wapo Watu Waliokuwa wameweka NIA ya kuhudhuria lakini wakashindwa kutokana na sababu mbali mbali.

Katika Msafara wetu Tulibeba Nguo, VIATU, MABEGI YA SHULE, MASAHAFU, MAJUZUU, CHUMVI, MISWAKI YA WATOTO, VIBERITI, SABUNI PAMOJA NA UNGA.

Alhamdulillah ni ziara iliyoacha Alama.

Address

Ilala
Ilala

Telephone

+255717965090

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Sunshine Muslim Volunteers_Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to The Sunshine Muslim Volunteers_Tz:

Share