30/07/2026
Niliambiwa kabla sijamuoa kua ndio tabia zao.
Sasa nimejionea anapenda kuvaa khanga moja muda wote na hapendi kuvaa nguo ya ndani.
Nimejitahidi kumuelekeza haelewi.
Niambieni ni KABILA gani huyu.!?