children power organization

children power organization Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from children power organization, Non-Governmental Organization (NGO), dodoma, Dodoma.

CHETI CHA PONGEZIMratibu wa shirika la children power organization mkoa wa morogoro Ndugu witness Foya amepokea cheti Ch...
03/07/2024

CHETI CHA PONGEZI

Mratibu wa shirika la children power organization mkoa wa morogoro Ndugu witness Foya amepokea cheti Cha pongezi kutoka shirika linaloitwa Morogoro Paralegal center cheti hicho Cha pongezi kimetokana na ushirikiano mzuri uliopo kati ya shirika la *children power organization na shirika la Morogoro Paralegal center kutokana na ushirikiano mzuri mashirika yote mawili yamefanikiwa kuisaidia jamii ya mkoa wa morogoro kwa kuhakikisha kila mtu anapata haki anayostahili pia watoto wanalindwa kwa gharama yoyote ikiwa ni katika kuunga juhudi za serikali yetu ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wetu Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN Ambae yeye mwenyewe amekuwa kinara namba Moja wa kulinda haki za watoto nchini kwetu Tanzania.

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KAZI IENDELEE

CHETI CHA PONGEZIMratibu wa shirika la children power organization mkoa wa morogoro Ndugu witness Foya  amepokea cheti C...
02/07/2024

CHETI CHA PONGEZI

Mratibu wa shirika la children power organization mkoa wa morogoro Ndugu witness Foya amepokea cheti Cha pongezi kutoka shirika linaloitwa Morogoro Paralegal center cheti hicho Cha pongezi kimetokana na ushirikiano mzuri uliopo kati ya shirika la children power organization na shirika la Morogoro Paralegal center kutokana na ushirikiano mzuri mashirika yote mawili yamefanikiwa kuisaidia jamii ya mkoa wa morogoro kwa kuhakikisha kila mtu anapata haki anayostahili pia watoto wanalindwa kwa gharama yoyote ikiwa ni katika kuunga juhudi za serikali yetu ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wetu Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN Ambae yeye mwenyewe amekuwa kinara namba Moja wa kulinda haki za watoto nchini kwetu Tanzania.

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KAZI IENDELEE

Mratibu wa shirika la children power organization mkoa wa Dar es Salam Ndugu Mwl.khalima khamis akiwa pamoja na wanacham...
01/07/2024

Mratibu wa shirika la children power organization mkoa wa Dar es Salam Ndugu Mwl.khalima khamis akiwa pamoja na wanachama wa shirika la children power organization mkoa wa Dar es Salam wamefika katika kituo Cha watoto yatima kiitwacho AL HIDAAYA kilichopo kata ya zigiziwa jijini Dar es Salam ambapo wakiwa Katika kituo hicho walipokelewa na mmiliki wa kituo hicho Ndugu Rashid Hakungwa ambapo walienda kutoa pole kwa ajali ya moto iliyotokea katika kituo hicho ambapo walionana na watoto na kuwapatia msaada wa begi za shule na msaada wa vyakula kwa lengo la kuwatia moyo waweze kuendelea na masomo Yao ikiwa ni katika juhudi za shirika la children power organization kuisapoti serikali yetu ya Tanzania katika kuhakikisha kila mtoto anapata haki elimu bila kujali Hali yake na mazingira yake yanayomzunguuka.

MATUKIO KATIKA PICHAMratibu wa shirika la children power organization mkoa wa morogoro Ndugu *witness Foya* akipokea che...
17/06/2024

MATUKIO KATIKA PICHA

Mratibu wa shirika la children power organization mkoa wa morogoro Ndugu *witness Foya* akipokea cheti Cha pongezi kutoka halimashauri ya manispaa ya Morogoro mjini ambapo shirika la children power organization limepewa cheti Cha pongezi kwa Kazi nzuuri ya kuunga juhudi za serikali katika Kusimamia maendeleo ya mtoto wa kitanzania katika mkoa wa morogoro Cheti hicho kimekabidhiwa na mstahiki Meya wa manispaa ya Morogoro mjini Ndugu PASCHAL KIANGA shirika la children power organization tutaendelea kuunga mkono juhudi za serikali yetu kwa kila hatua tukiwa K**a wadau wa maendeleo na ustawi wa jamii katika nchi yetu ya Tanzani

MATUKIO KATIKA PICHAwanachama na viongozi wa shirika la children power organization mkoa wa morogoro wakiwa katika picha...
17/06/2024

MATUKIO KATIKA PICHA

wanachama na viongozi wa shirika la children power organization mkoa wa morogoro wakiwa katika picha ya pamoja na mstahiki Meya wa manispaa ya Morogoro mjini mheshimiwa PASCHAL KIANGA ni katika shamra shamra za kuadhimisha siku ya mtoto wa Africa mkoani Morogoro

Wanachama na viongozi wa shirika la Children Power Organization Mkoa wa Kigoma wakiongozwa na Katibu wa shirika la Child...
17/06/2024

Wanachama na viongozi wa shirika la Children Power Organization Mkoa wa Kigoma wakiongozwa na Katibu wa shirika la Children Power Organization Mkoa wa Kigoma Ndugu Agatha Dominick Hyasent wametembele familia ya mama mwenye watoto nane ambao Wana mahitaji mbalimbali k**a mavazi, vifaa vya kielimu, chakula na malazi ambapo wametoa msaada wa kuwapatia vitu hivyo ili watoto hao wawaze kupata elimu Bora . Ikiwa Katika shamrashamra kuikaribisha siku ya mtoto wa Afrika inayoadhimishwa kimkoa Katika mkoa wa Kigoma, wilaya ya Buhigwe tarehe 16/6/2024 Katika Kijiji Cha Mlera

Ofisi ya Mratibu wa shirika la children power organization mkoa wa morogoro imepokea cheti Cha pongezi kutoka ofisi ya m...
16/06/2024

Ofisi ya Mratibu wa shirika la children power organization mkoa wa morogoro imepokea cheti Cha pongezi kutoka ofisi ya mkurugenzi wa halimashauri ya manispaa ya Morogoro pongezi hizo zimetokana na mchango mkubwa wa wanachama wa shirika la children power organization mkoa wa morogoro katika kutoa elimu ya kupinga vitendo vya ukatili na kutoa elimu ya lishe na malezi kwa wazazi wa mkoa wa morogoro shirika la children power organization litaendelea kuunga mkono serikali katika kila hatua zote lengo tuwe na Taifa Bora lenye uelekeo wa maendeleo na ustawi wa jamii

CHILDREN POWER ORGANIZATION
"UWAZI NA UWAJIBIKAJI KWA WATANZANIA"

Wanachama na viongozi wa shirika la children power organization mkoa wa morogoro wakiongozwa na mratibu wa shirika la ch...
15/06/2024

Wanachama na viongozi wa shirika la children power organization mkoa wa morogoro wakiongozwa na mratibu wa shirika la children power organization mkoa wa morogoro Ndugu witness Foya wametembelea kituo Cha watoto wenye mahitaji maalumu kiitwacho MIHAYO kilichopo wilaya ya Morogoro mjini wakiwa katika kituo hicho wametoa mahitaji mbali mbali ikiwemo chakula , mavazi , na chakula pamoja na vifaa vya shule ikiwa katika shamra shamra za kuikaribisha siku ya mtoto wa Africa itayoadhimishwa kimkoa katika mkoa wa morogoro tarehe 16/06/2024 katika ukumbi wa manispaa ya Morogoro.

MTOTO KWANZA KWA MANUFAA YA TAIFA LETU

Mwenyekiti wa idara ya malezi na mahitaji ya watoto wa shirika la children power organization ngazi ya Taifa bi Sabrina ...
13/06/2024

Mwenyekiti wa idara ya malezi na mahitaji ya watoto wa shirika la children power organization ngazi ya Taifa bi Sabrina chigwasi akiwa pamoja na mratibu wa shirika la children power organization mkoa wa morogoro Ndugu witness Foya kwa pamoja wamefika katika kituo Cha radio Cha mviwata Fm ambapo wakiwa katika kituo hicho Cha radio wameelimisha jamii ya mkoa wa morogoro juu haki za watoto pia wameelezea kwa kina juu ya utumikishwaji wa watoto wadogo katika jamii na madhara yake wakiwa katika kituo hicho Cha radio wamewaasa wazazi kuwa na malengo mazuri na watoto kwa kuwapeleka mashuleni kupata elimu kwani kwa Sasa elimu ni bure hapa nchini Tanzania na miuondombinu imeboreshwa na serikali yetu sikivu ya Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN hivyo wazazi wameombwa kuchangamkia fursa hiyo ya elimu Bure ili watoto wasome waje wawe viongozi wa Taifa na jamii kwa ujumla.

Mratibu wa shirika la children power organization mkoa wa morogoro Ndugu witness Foya ameambatana na afisa Ustawi wa man...
13/06/2024

Mratibu wa shirika la children power organization mkoa wa morogoro Ndugu witness Foya ameambatana na afisa Ustawi wa manispaa ya Morogoro mjini Joyce Magambi kwa pamoja wametoa Elimu ya afya ya lishe kwa watoto wa shule ya msingi mwere iliyopo morogoro Mjini ikiwa ni katika maandalizi ya kuadhimisha siku ya mtoto wa Africa shirika la children power organization limeamua kwa dhati kuungana na serikali na wadau wa maendeleo kutomeza vitendo vyote ukatili wa kijinsia katika nchi yetu ya Tanzania ikiwa ni sehemu kuunga mkono juhudi kubwa za serikali kupitia wizara ya maendeleo ya jamii jinsia na makundi Maalumu.

12/06/2024

☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽

Mwenyekiti wa idara yamalezi na mahitaji ya watoto wa shirika lisilo la kiserikali la children power organization Bi Sabrina chigwasi atoa neno kuelekea siku ya mtoto wa Africa 16/6/2024

*

Address

Dodoma
Dodoma

Telephone

+255767674938

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when children power organization posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to children power organization:

Share