Bidhaa asili kutoka katika mmea mwani

Bidhaa asili kutoka katika mmea mwani Bidhaa za Afya na urembo

20/01/2024
Jinsi Ya Kuitumia BAKIND SODAHii ni njia rahisi sana iwapo unahitaji kuondoa tatizo la muwasho sehemu nyeti na kutibu ta...
15/01/2024

Jinsi Ya Kuitumia BAKIND SODA

Hii ni njia rahisi sana iwapo unahitaji kuondoa tatizo la muwasho sehemu nyeti na kutibu tatizo la P.I.D

Cha Kufanya

Chukua kikombe kimoja cha maji ya uvuguvugu kisha WEKA VIJIKO VIWILI VYA BAKING SODA (Kipimo ni kijiko kidogo cha chai / teaspoon)

Koroga na kunywa asubuhi na usiku kwa muda wa siku 7

K**a pia una muwasho sana maeneo ya nje ya sehemu za siri, Chukua dumu la lita tano lenye maji safi, tia vijiko glass moja ya baking soda kisha yaache kwa muda wa dakika 30

Utakuwa unasafisha sehemu zenye muwasho kwa kutumia maji hayo, yakiisha utaandaa mengine.

Fanya hivi kwa siku 7 utaleta mrejesho

Asante🤝

SEA MOSS -Inatoa mafuta mabaya na sumu mwilini-Inakusaidia kuweka sukari sawa-Kuweka pressure yako sawa-Husafisha Figo n...
15/01/2024

SEA MOSS
-Inatoa mafuta mabaya na sumu mwilini
-Inakusaidia kuweka sukari sawa
-Kuweka pressure yako sawa
-Husafisha Figo na inni
-Hurekebisha mfuko wako wa uzazi
-Inasaidia kuondoa gesi tumboni
-Inakusaidia kukuponya vidonda vya tumbo
-Inakusaidia Kupunguza uzito na tumbo
-Inakusaidia kukuponya bawasiri
-Kupata hedhi vizuri
-Kuondoa ganzi
-Inakupa guvu kuongeza kinga
-Kupunguza uvimbe wa tezi ya shingo Goiter
-Hutibu magonjwa ya ngozi.
-Husaidia kukuza nywele/hair conditioner .
-Huboresha mmengenyo wa chakula
-Hunasafisha mapafu
-Husaidia kupata usingizi
-Rishe nzuri pia kwa watoto ukuaji.
-Husaidia kuweka Sawa homoni.
-Nzuri kwa mama mjamzito na aliyejifungua
-Kupunguza maumivu ya Mifupa na miguu kuwaka moto
-Hupunguza kasi ya kupata magonjwa ya moyo, kisukari na kansa.

Na faida nyingine nyingi….

****Sea Moss Inatibu Kila Kituuuuu*****

Summary
Unaweza kufuata yafuatayo ili kupata matokeo chanya
1:Kufanya mazoezi mara kwa mara
2:Kupunguza kula vyakula vyenye mafuta mengi
3: Tunapaswa kula vyakula vya asili na maji kwa wingi
4: Kuwa na utaratibu wa kupishanisha vyakula mfano unapata kifungua kinywa kidg asbh alafu mchana unakula matunda tu Kisha ule jioni
5:Kupunguza kula mara kwa mara
6:kutumia mboga za majani
7:Ukitumia na sea moss 🤗🤗🤗🤗









Mafuta ya mwani ni bora kwa kuirinda ngozi yako dhid ya chunusi, madoa,mba, pumu ya ngozi na vipele na miwasho. Sh.10000...
12/01/2024

Mafuta ya mwani ni bora kwa kuirinda ngozi yako dhid ya chunusi, madoa,mba, pumu ya ngozi na vipele na miwasho. Sh.10000 tu

10/01/2024

Please follow me to share some ideas about health and beauty 🥰👌

09/01/2024

Ondoa madoadoa,chunusi kwa kutumia mafuta asili ya mwani na sabuni yake🥰👌

Tunao mwani na bidhaa zitokanazo na mwana k**a mafuta, sabuni, kwaajiri ya kuitumia ili kuitunza na kuilinda ngozi yako ...
09/01/2024

Tunao mwani na bidhaa zitokanazo na mwana k**a mafuta, sabuni, kwaajiri ya kuitumia ili kuitunza na kuilinda ngozi yako dhidi ya magonjwa k**a pumu ya ngoz, chunusi, miwasho, harahara , mapunye au vibarango ,mba karibu tukuhudumie tupo Dodoma maili mbili karibu na chuo cha mipango. Piga 0625291153.
Mwani kilo 4000
Nusu 20000
Robo 10000
Mafuta madogo 10000
Ya kati 15 000
Makubwa 25000
Karibuni sana tunapatikana Dodoma.0625291153

09/01/2024

MAAJABU YA MAFUTA YA MWANI/SEAMOSS KATIKA NGOZI YAKO KWA KUZUIA KUZEEKA KWA NGOZI NA KUIFANYA NGOZI KUWA LAINI K**A YA MTOTO NA KUTIBU MAGONJWA MBALI MBALI YA NGOZI.

*SOMA KWA MAKINI KWA FAIDA YA NGOZI*

SIMU 0625291153



BEI:
Mafuta makubwa=15,000
Mafuta madogo=10,000

FAIDA ZA MWANI/SEAMOSS KATIKA NGOZI
Kutokana na mwani kuwa na kiwango kikubwa cha madini na vitamins yapatayo 92 kwa pamoja, mwani umekuwa msaada mkubwa katika afya ya ngozi na kusaidia yafuatayo.

1.Kuchelewesha kuzeeka kwa ngozi kwa kuondoa makunyanzi na kuipa ngozi vitamini na madini mhimu

2.Kuondoa chunusi na kuondoa aina zote za uvimbe katika ngozi. Mwani una kiwango kizuri cha Sulfur ambayo inazuia uzalishaji wa sebum na kuondoa chunusi.

3.Kufanya ngozi kuwa nyororo, ya kung'aa na laini yenye afya.

4.Kuondoa uvimbe wa aina mbali mbali na mafuta mafuta katika ngozi.

5.Hutibu vidonda na michubuko katika ngozi.

6.Husaidia kuondoa makovu katika ngozi.

7.Hutibu upele, miwasho, harara, mapunye, majibu na kila aina za uvimbe katika ngozi

8.Huondoa fangasi za miguuni, magaga na magamba magumu katika ngozi na miguu.

9.Huondoa makunyanzi katika mwilini na upele baada ya kunyoa.

10.Hutibu pumu ya ngozi.
11. Hulinda seli za ngozi na kukinga dhidi ya maradhi mbalimbali ya ngozi na kufanya ngozi kuwa nyororo na yenye unyevunyevu muda wote.

12. Huondoa michirizi mwilini.
13. Hutibu ukurutu.

UPATIKANAJI
Mafuta haya yanapatikana pia zanzibar, daresalaam DoDoma tupo pia no zetu 0625291153

Call 0625291153
06/01/2024

Call 0625291153

Address

Maili Mbili
Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bidhaa asili kutoka katika mmea mwani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share