24/10/2024
*KUTOKA TASESO TANZANIA*
Maafisa kutoka Taasisi yakuinua kiwango cha Elimu nchini(*TASESO*),wameondoka nchini leo kuelekea mji mkuu wa *Malawi Lilongwe* kuhudhuria mkutano wa wadau wa elimu unaokusudia kufanyika mapema tarehe 26 Oct 2024,unaolenga kuzikutanisha nchi kadhaa za Africa Mashariki.
Kwa mwaliko huo,TASESO imeambatana na Mkufunzi wa Kitaifa *Gwamaka Bukuku* kutoka Tanzania.
*Tanzania Schools Empowerment and Service Organization(TASESO)*
DODOMA
24/10/2024