Kijiji Global Community - KGC Tanzania

Kijiji Global Community - KGC Tanzania Kijiji Global Community-KGC Tanzania. Non Governmental organization. Learn Elevate Shape future

Heri ya sikukuu ya Eid Al adha.. Eid Mubarak
27/05/2026

Heri ya sikukuu ya Eid Al adha.. Eid Mubarak

Tunapenda kuungana na waislamu wote Tanzania na Dunia nzima katika kusherehekea sikukuu ya Eid eld fitr. Eid Mubarak    ...
21/03/2026

Tunapenda kuungana na waislamu wote Tanzania na Dunia nzima katika kusherehekea sikukuu ya Eid eld fitr. Eid Mubarak


#2026


WITO WA KUJITOLEA (CALL FOR VOLUNTEERS)Je, ungependa kuchangia maendeleo ya jamii na kuwa sehemu ya mabadiliko chanya kw...
09/03/2026

WITO WA KUJITOLEA (CALL FOR VOLUNTEERS)

Je, ungependa kuchangia maendeleo ya jamii na kuwa sehemu ya mabadiliko chanya kwa vijana?

Kijiji Global Community (KGC) inakaribisha vijana na wataalamu wenye moyo wa kujitolea kujiunga nasi katika juhudi za kuwawezesha vijana na kujenga jamii imara kupitia mafunzo, ubunifu na maendeleo endelevu.

Hii ni fursa nzuri ya:
✔ Kupata uzoefu wa kazi
✔ Kujenga ujuzi wa kitaaluma
✔ Kupanua mtandao wa kitaaluma
✔ Kuchangia maendeleo ya jamii

📩 Tuma CV yako na barua ya maombi kupitia:
[email protected]

⏳ Mwisho wa kutuma maombi: 13 Machi 2026

🌍 Jiunge nasi katika kujenga jamii yenye fursa, ujuzi na maendeleo.

Heri ya siku ya wanawake Duniani.Tunatambua thamani yenu kubwa katika kuleta Maendeleo Endelevu katika Jamii na Taifa kw...
08/03/2026

Heri ya siku ya wanawake Duniani.
Tunatambua thamani yenu kubwa katika kuleta Maendeleo Endelevu katika Jamii na Taifa kwa ujumla.
Haki na Usawa Kwa wanawake na wasichana Msingi jumuishi kufikia Dira 2050.




Address

Chamwino Ikulu Village
Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kijiji Global Community - KGC Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share