Elimu ya Biashara na Ujasiriamali

Elimu ya Biashara na Ujasiriamali Elimu na Ushauri juu ya Biashara na Ujasiriamali

12/07/2025
🧠 MINDSET YA MJASIRIAMALI – KICHWA NDIO BIASHARA YENYEWE Sara D. Swai > “Watu wengi wanashindwa biashara si kwa sababu h...
08/07/2025

🧠 MINDSET YA MJASIRIAMALI – KICHWA NDIO BIASHARA YENYEWE Sara D. Swai

> “Watu wengi wanashindwa biashara si kwa sababu hawana bidhaa, bali kwa sababu hawajajiandaa kiakili.”

âś… Mambo Muhimu ya Kujenga Mindset ya Mjasiriamali:

1. Thubutu (Courage)

Usisubiri kila kitu kiwe tayari.

Jifunze kuanza kidogo: “Start small but think big.”

2. Kushindwa si Mwisho (Failure = Feedback)

Ukikosea leo, umejifunza njia moja isiyofanya kazi.

Kila mjasiriamali mkubwa alishawahi anguka — tofauti ni kwamba hawakuacha.

3. Maono na Maamuzi

Jiulize: Nataka kufika wapi na kwa nini?

Kuwa na maono husaidia kusimama imara hata siku mambo yakiwa magumu.

4. Uvumilivu na Nidhamu

Faida kubwa haiji mara moja.

Jifunze kusema "hapana" kwa tamaa za haraka.

5. Jifunze kila siku

Soma vitabu, angalia video, uliza waliofanikiwa.

Mjasiriamali mzuri ni mwanafunzi wa kudumu.

---

đźź© Zoezi la haraka:

Andika haya kwa kalamu kwenye daftari au simu:

Naitwa ________________

Nataka kufanya biashara kwa sababu _____________________

Maono yangu ni ___________________

Nitajifunza kila siku na sitakata tamaa kwa sababu _____________________

📋 MPANGO WA BIASHARA – DIRA YA MFANYABIASHARA MAKINI 🚀Kabla hujachapisha bango la bei, au kufungua duka, kuna jambo moja...
06/07/2025

📋 MPANGO WA BIASHARA – DIRA YA MFANYABIASHARA MAKINI 🚀

Kabla hujachapisha bango la bei, au kufungua duka, kuna jambo moja muhimu sana – Mpango wa Biashara.

Mpango wa biashara ni ramani inayokuongoza kufanikisha ndoto yako ya kibiashara. Bila mpango, unafanya kazi kwa kubahatisha. Ukiwa nao, unajua wapi pa kuanzia, wapi pa kwenda, na nini cha kuboresha.

🔑 Mpango mzuri wa biashara hujumuisha:

Jina na aina ya biashara unayotaka kuanzisha

Lengo kuu na maono yako

Bidhaa/huduma unazotoa

Soko unalolilenga na wateja wako ni akina nani

Bei na makisio ya mapato

Gharama na mahitaji ya awali

Mikakati ya kutangaza na kuuza

Changamoto unazotarajia na suluhisho

🎯 Mpango huu si wa kuandika tu — ni wa kuishi nao, kuufanyia kazi na kuufanyia marekebisho unapoendelea kukua.

---

👣 Usiogope kuanza na karatasi na kalamu. Andika ndoto yako, ifanyie kazi kwa mpango thabiti.

Wajasiriamali waliobobea si wa pekee – walikuwa k**a wewe, ila waliamua kupanga kabla ya kutenda.

🖋️ Sara Swai – “Quality is our calling”

12/02/2025

Ule ubuyu wetu upo! Upo wakutosha.

Ubuyu mtamu sanaaaa..

Wapenzi wa ubuyu simu ziite

Tunauza Jumla na rejareja.

Tunasafirisha mikoa yote Tanzania kwa uaminifu mkubwa
Sara D. Swai
Tanzania entrepreneurship development academy- TAEDA
SHULE ya Ujasiliamali
UJUZI WANGU AJIRA

Kwa ubuyu mtamu na classic usisite kutupigiaTunauza ubuyu wa Zinzibar kg moja 4,000Ndoo ndogo 40,000Kubwa 75,000Gunia 65...
26/01/2025

Kwa ubuyu mtamu na classic usisite kutupigia

Tunauza ubuyu wa Zinzibar kg moja 4,000
Ndoo ndogo 40,000
Kubwa 75,000
Gunia 650,000

Tunapatikana Dodoma - Ubuyu unakolimwa na kuchakatwa👌

Ubuyu wetu ni classic.. Toa order yako uletewe mzigo fastaaa..Tucheki kwa WhatsApp 0689798887Au call 0757578454
10/03/2024

Ubuyu wetu ni classic.. Toa order yako uletewe mzigo fastaaa..

Tucheki kwa WhatsApp 0689798887
Au call 0757578454

Address

Dodoma

Telephone

+255692798887

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elimu ya Biashara na Ujasiriamali posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Elimu ya Biashara na Ujasiriamali:

Share