26/12/2025
TEKNOLOJIA YA MAFANIKIO.
Teknolojia si mashine Wala si programm Wala si mtandao pekee Bali ni mfumo wa juu ( meta system) unao unganisha fikara ,kanuni ,taratibu ,zana,tabia,muda,tarifa,MAARIFA na maamuzi pamoja na Imani ili kuzalisha matokeo endelevu yanayo kua na yanayo jirudia .
Kwa ufupi sana TEKNOLOJIA ni kuunda ushindi kwa makusudi ........
K**a ilivyo kawaida wanaopambana ni wengi lakin wanao fanikiwa ni wachache ,hii sio kwasababu wanaofanikiwa wana MAARIFA,au JUHUDI sana katika utaftaji,
Lakin MAFANIKIO huanza kabla ya hatua na huanza katika mifumo inayo ongozwa kwa makusudi (manual operating system) na mifumo isiyo ongozwa kwa makusudi( automatically operating system)
Mfumo (system) huona uhusiano wa sababu na athari
( A----B----C----D) Wakati huo ikichangiwa na probability mind set yaani si uhakika Bali uwezekano unao dhibitiwa na mwisho wake unazalisha .Hali hii hupelekea utimilivu wa contrarian intelligence ambayo humfanya mtu anakua na uwezo wakwenda kinyume na fikra za watu wengine wote kwa hoja dhabiti .
Nahapo sasa Mtu hupata swali la muhim sana kuliko maswali yote katika jukwaa la DUNIA ambalo ni MIMI NI NINI badala ya MIMI NI NANI???