Tanzania Lambert Foundation -TLF

Tanzania Lambert Foundation -TLF Community Free Diseases and Poverty

Kindness is free spread it everywhere🥰🫂Tanzania Lambert Foundation -TLF
23/03/2026

Kindness is free spread it everywhere🥰🫂
Tanzania Lambert Foundation -TLF

21/03/2026
Tumepata muda mzuri kuongea na team ya TBC Leo ofisini
17/03/2026

Tumepata muda mzuri kuongea na team ya TBC Leo ofisini

Umakini ulijitajika ili kuhakikisha halitupiti hata neno Moja Shukran sana Team kutoka Same kwakututembelea nakutupatia ...
14/03/2026

Umakini ulijitajika ili kuhakikisha halitupiti hata neno Moja
Shukran sana Team kutoka Same kwakututembelea nakutupatia kile Mnacho katika Brain zenu
Karibuni tena na Tena TLF 🙏🙏.

Fursa Fursa Fursa
10/03/2026

Fursa Fursa Fursa

Chap chap vijana wenye Nguvu namoyo wakufanya kazi vijana wanaohitaji mabadiliko yakweli wakati Ndio huu  changamkia naf...
10/03/2026

Chap chap vijana wenye Nguvu namoyo wakufanya kazi vijana wanaohitaji mabadiliko yakweli wakati Ndio huu changamkia nafasi

Kazi ya TLF katika utoaji waujuzi wakutengeneza Batiki Karibu sana tunapokea wanafunzi tunapokea oda Batiki zetu ninzuri...
10/03/2026

Kazi ya TLF katika utoaji waujuzi wakutengeneza Batiki
Karibu sana tunapokea wanafunzi tunapokea oda
Batiki zetu ninzuri Hazichuji wala hazipauki Bei zetu Nisawa nabure

Madarasa Yanaendelea ujuzi unatolewa karibu ujiunge nafamilia hii ujitengenezee kipato
10/03/2026

Madarasa Yanaendelea ujuzi unatolewa karibu ujiunge nafamilia hii ujitengenezee kipato

23/02/2026

Fanyika Baraka kwachochote utakachojaliwa kwaajili yamama huyu nafamilia yake

Kumbuka anamgonjwa ambaye hajitambui haongei wala kufanya chochote anawatoto wanaomuangalia wapo shuleni wanahitaji matumizi nachakula chakila siku

Isitoshe hana makazi yakumuwezesha kukaa nawatoto wake anachumba kimoja tu 😭

Ungana na TLF kuhakikisha mama huyu anapata sehemu yakuishi nawatoto wake

Tanzania Lambert Foundation inapenda kukushukuru mdau ndugu jamaa au rafiki uliyefanyika Baraka kukamilisha Event ya Mwa...
08/02/2026

Tanzania Lambert Foundation inapenda kukushukuru mdau ndugu jamaa au rafiki uliyefanyika Baraka kukamilisha Event ya Mwanafunzi Smart yakutembelea kituo cha Watoto waishio katika mazingira magumu kilichopo Bagamoyo Mapinga

Hakika tumemuona Mungu sana Tumekula tumekunywa tumecheza nakile tulichojaliwa tumewafikishia watoto wetu.
Wanawashukuru sana sana nawanaomba tusiwaache katika kuwatia Moyo kwakidogo tunachojaliwa

Mungu wambinguni awabariki sana asiwapungukie pale mmetoa 🙏🙏

Katika kuhakikisha tunapunguza au kutokomeza kabisa umasikini taasisi yetu inatoa madarasa mbalimbali ya ujasirimiali k**a vile Mapambo(Decor), Sabuni zamaji aina zote,Jiki,mishumaa , Batiki

Pia unaweza kutusupport kwakutupatia kazi tunapamba katika Events zote nabidhaa tunazotengeneza tunauza pia karibu sana TLF utuunge mkono

Karibu sana TLF tunakupenda sana kwasasa ofisi zetu zimehamia Kimara Stop over awali tulikuwa Magomeni Usalama opposite na jengo la Watumishi House
➡️ 0763611533 Or 0718400325

Unahitaji decoration kwaajili shughuli yoyote tutakuhudumia kwabei yakawaida sanaPia ukihitaji mafunzo tunatoa mafunzo  ...
13/11/2025

Unahitaji decoration kwaajili shughuli yoyote tutakuhudumia kwabei yakawaida sana

Pia ukihitaji mafunzo tunatoa mafunzo ya sabuni aina zote jiki mishumaa mapambo batiki nakeki unachangia gharama ndogo kwaajili ya vifaa na cheti tu

karibu katika familia ya TLF tuungane tuweze kunyanyuka pamoja 🤝🤝

DM 📲0650711533

Address

Usalama Magomeni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Lambert Foundation -TLF posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share