CHABI Community

CHABI Community Huu ni ukurasa rasmi wa Jumuiya ya wanachabi Dsm,

Katikati ya safariπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
27/08/2026

Katikati ya safariπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Tumeianza safari ya kuelekea nyumbani, Dua na Sala zenu ziwe nasi ndugu zetuπŸ™πŸ™
27/08/2026

Tumeianza safari ya kuelekea nyumbani, Dua na Sala zenu ziwe nasi ndugu zetuπŸ™πŸ™



Muda wa kwenda nyumbani, πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
26/08/2026

Muda wa kwenda nyumbani, πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Hello chabi, tunakuja nyumbani,,,,,
26/08/2026

Hello chabi, tunakuja nyumbani,,,,,



Ilikuwa mwaka Jana wakati tukikamilisha hitima ya ndugu yetu Jimmy  Salum Mtwange, zimebaki siku 2 tu kabla ya kurudi Te...
25/08/2026

Ilikuwa mwaka Jana wakati tukikamilisha hitima ya ndugu yetu Jimmy Salum Mtwange, zimebaki siku 2 tu kabla ya kurudi Tena nyumbani, sehemu ambayo ndiko ili asili yetu, walikolala Babu, bibi zetu, na ndugu wengine, sehemu ambayo asili yake imebeba mengi juu yetu, tunaipenda sana chabi yetu, Tumeimiss Chabi yetu,,,,




Zimebaki siku 3 kabla ya safari ya nyumbani, wewe mwanachabi uliyepo dsm na ungetamani kujumuika nasi katika safari basi...
24/08/2026

Zimebaki siku 3 kabla ya safari ya nyumbani, wewe mwanachabi uliyepo dsm na ungetamani kujumuika nasi katika safari basi wakaribishwa sana, wahi haraka ndani ya muda huu mifupi

0743111311

Chabi tunakuja, chabi tuimemiss, nyumbani tunakuja, nyumbani tutakaa, nyumbani tutaomba, nyumbani tutafurahi na ndugu ze...
24/08/2026

Chabi tunakuja, chabi tuimemiss, nyumbani tunakuja, nyumbani tutakaa, nyumbani tutaomba, nyumbani tutafurahi na ndugu zetu,,,,

Tunapenda nyumbani, tunathamini nyumbani



Mipango ya safari ikiendelea kusukwa, zimebaki siku 5 tu ili twende zetu nyumbani , wewe mwanachabi unasubiri nini kuwah...
22/08/2026

Mipango ya safari ikiendelea kusukwa, zimebaki siku 5 tu ili twende zetu nyumbani , wewe mwanachabi unasubiri nini kuwahi seat yako? Zimebaki chache sana, jitahidi kuwasiliana na mratibu wetu ndugu sephania ,,,,,

Sio lazima uwe mwanajumuiya hata mwanachabi yeyote anaruhusiwa kujumuika nasi katika safari hii, karibuni sana



"yaani mimi sisemi, nikifika tu Chabi lazima niende Nobo, nimemiss kiwelege jamani, nimemiss mimi wali na kalubumbuli, D...
20/08/2026

"yaani mimi sisemi, nikifika tu Chabi lazima niende Nobo, nimemiss kiwelege jamani, nimemiss mimi wali na kalubumbuli, Dona na kidalwe jamani" πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€




#

Mratibu wa kuratibu shughuli zote za jumuiya anaulizia bado kuna mwanachabi hajawahi siti mpaka sasa? Anasubiri nini? Ha...
20/08/2026

Mratibu wa kuratibu shughuli zote za jumuiya anaulizia bado kuna mwanachabi hajawahi siti mpaka sasa? Anasubiri nini? Hataki zile Chama choma? Vipi kuhusu keki? Tukacheze na nani sangula?



Address

Tandale
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CHABI Community posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share