Sauti ya Mama Jasiri

Sauti ya Mama Jasiri Kila mama au Binti ana SAUTI ndani yake ambayo akiitoa ni ukombozi Kwa kizazi. karibu tuzungumze,

24/12/2025
SAUTI YA MAMA JASIRI inawatakia Krismasi njema iliyojaa upendo, amani na tumaini jipya.Krismasi hii iwe kumbusho kwamba ...
24/12/2025

SAUTI YA MAMA JASIRI inawatakia Krismasi njema iliyojaa upendo, amani na tumaini jipya.
Krismasi hii iwe kumbusho kwamba hata katikati ya changamoto, Mungu hutuma nuru yake—kama alivyotuma Mwokozi wetu Yesu Kristo.
Isaya 9:6

Kwa kila mama jasiri, mwanamke anayesimama imara, na binti anayejifunza kuchagua maisha bora:
Mwaka Mpya na uje na ujasiri mpya, hekima ya kufanya maamuzi sahihi, na neema ya kusimama bila kuvunjika.

“Bwana akubariki na kukulinda;
Bwana akuangazie nuru ya uso wake, akurehemu.” (Hesabu 6:24–26)

Krismasi njema na Mwaka Mpya uliojaa ushindi,
SAUTI YA MAMA JASIRI 💖

Hello mama Jasiri!
23/11/2025

Hello mama Jasiri!

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sauti ya Mama Jasiri posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share