Chief Godlove Foundation

Chief Godlove Foundation WE GROW BY Supporting orphans, widows, persons with disabilities, and individuals with albinism.

Focused on health, food, shelter & financial empowerment.
📞 For donations & support: +255 761 500 710

27/02/2026

TAASISI YA IKISHIRIKIANA NA MKURUGENZI WAKE TUKISHIRIKIANA NA WATANZANIA WOTE PAMOJA NA WATU KUTOKA SEHEMU MBALI MBALI DUNIANI WENYE NIA YA KUMSAIDIA MTOTO HUYU, TUKO TAYARI KUHAKIKISHA TUNASIMAMA KWA PAMOJA KURUDISHA TABASAMU LA MTOTO HUYU MWENYE ULEMAVU WA MIKONO, ALIYEFIWA NA BABA YAKE AMBAE ALIKUA AKIMTEGEMEA KWA KILA KITU, MTOTO HUYU ANAISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU KUTOKANA NA HALI YAKE ANAHITAJI ZAIDI MSAADA. K**A KUNA YEYOTE KUTOKA TAASISI ZA AFYA NA VIFAA TIBA MWENYE UJUZI/ELIMU KUHUSIANA NA MIKONO BANDIA AMBAYO ITAMSAIDIA MTOTO HUYU, TUNAOMBA AWASILIANE NASI ILI TARATIBU ZA KUPATA MIKONO BANDIA KWA AJILI YA MTOTO HUYU ZIANZE, AHSANTENI 🙏🏽.

Mkurugenzi Mkuu wa ChiefGodlove Foundation ()  Taasisi ya Kusaidia watu  Yatima, Wajane na watu wasiojiweza Godlove Mwak...
02/07/2025

Mkurugenzi Mkuu wa ChiefGodlove Foundation () Taasisi ya Kusaidia watu Yatima, Wajane na watu wasiojiweza Godlove Mwakibete amerudisha Fomu ya kutia nia kugombea Ubunge Jimbo la Kyela.

Ikumbukwe July 1,2025 Wazee wa Kyela walifika Ofisi za CCM Wilaya na kumchukulia Fomu Godlove Mwakibete () ili awe miongoni mwa watia nia katika Jimbo hilo.

Godlove Mwakibete amejipambanua k**a Kijana Mpambanaji na Mchapakazi katika Jamii ya Kitanzania na kuhamasisha Vijana kuacha kukaa Vijiweni na majumbani na badala yake watoke kutafuta kazi zitakazo wapatia kipato ili waishi maisha mazuri.

Kutokana na kuhamasisha Vijana kufanya kazi Taasisi ya EAEA (African Arts Entertainment Awards) walimpa Tuzo ya Best Motivation Speaker wa Africa.

https://youtu.be/aFU9d8APDJM?si=NyRJi7-qy0
15/06/2025

https://youtu.be/aFU9d8APDJM?si=NyRJi7-qy0

TAZAMA CHIEF GODLOVE AKIMWAGA PESA KWA KIJANA ALIYEPIGWA SHOTI KARIAKOO/ALILIA MSAADA KWA WATANZANIAMkurugenzi Wa Makampuni Ya CHIEF G MEDIA,CHIEF GODLOVE FO...

TUNAWATANGAZIA WATANZANIA RASMI TUKIWA K**A CHIEF GODLOVE FOUNDATION
14/06/2025

TUNAWATANGAZIA WATANZANIA RASMI TUKIWA K**A CHIEF GODLOVE FOUNDATION

TUWAPENDE YATIMA
08/06/2025

TUWAPENDE YATIMA

01/06/2025

Tukisaidiwa na mkurugenzi wetu mkuu Chief Godlove tumeweza kumsaidia kijana muuza mayai alietrend mtandaoni kwa kua na moyo mzuri moyo wa kumsaidia kijana aliekua akipita akamuuzia mayai baadae kijana akadai hana hela ya mayai kijana akampatia bure tumeamua kumsomesha pamoja na kuhakikisha tunamjengea nyumba

01/06/2025

Sisi k**a chief godlove foundation tunajitolea kumsomesha uyu dogo

29/04/2025

Nimepita Moshi hapa nikakutana na mama muuza genge nikaona nimchangie kwa kile nilichonacho chief chief godlove foundation ndio tumeanza hatuwezi saidia kila mtu Bali kila mtu anaweza saidia mtu mwingine tupendane tusaidiane tushikane mikono

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chief Godlove Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share