30/06/2026
They say a picture says a thousand words, and these ones say it best.💚
Every smile carried a story, every raised hand showed strength, every laugh was proof that joy finds its way back. These are faces from our recent health camps in Shinyanga and Tabora, people who’ve walked difficult roads, and for a moment, things felt a little brighter.
That’s what restored sight does. It gives back independence, dignity, and the simple joy of seeing the people you love clearly again. Thank you to our partners, health teams, and volunteers who made it all possible.
•
•
•
Wanasema picha moja husema zaidi ya maneno elfu, na hizi zinathibitisha hilo.💚
Kila tabasamu lina hadithi yake, kila mkono ulioinuliwa unaonyesha matumaini, na kila kicheko ni ushahidi kwamba furaha inaweza kurejea tena. Hizi ni baadhi ya nyuso tulizokutana nazo katika kambi zetu za afya za hivi karibuni mkoani Shinyanga na Tabora. Ni watu waliopitia changamoto nyingi, lakini kwa wakati huo, maisha yalionekana kuwa na mwanga mpya.
Hivyo ndivyo kurejesha uwezo wa kuona kunavyobadilisha
maisha. Kunarudisha uhuru, heshima, na furaha ya kuwaona tena kwa uwazi watu unaowapenda. Tunawashukuru washirika wetu, wataalamu wa afya, na wajitolea wote waliochangia kufanikisha huduma hil.
East Africa Comprehensive Women’s Cancer Project (EACwCP) Charity vision East Africa Muhimbili Orthopaedic Institute-MOI
Manispaa ya Tabora Ofisi ya mkuu wa mkoa Tabora Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Shinyanga District Council KISHAPU DC