Her Initiative

Her Initiative Formaly(TGSI)It is an initiative that reframes the value of girls and shapes new social norms that b

Her Initiative started in 2012 and was previously known as Teen Girls’ Supportive Initiative. A group of 3 high school students decided to take the lead in addressing issues that affected them and the girls around them.
“There were many school dropouts, teen pregnancies and violence around us so we decided to find solutions for us and others. We sat down and identified areas where we could access

knowledge around life skills, girls’ rights and laws. Because we spoke the same language as our peers we decided to carry out campaigns where we educated girls our fellow girls together with experts from the girls’ rights field. In later years the organization was registered and the name was changed from Teen Girls’ Support Initiative to Her Initiative.” – Lydia Charles Moyo (Founder)

17/04/2026

Charades: Her Initiative Edition

A fun and interactive way to explore what we do from our programs like Plan B, to departments such as Partnerships, Communications

25/03/2026

“Sikuwahi kuamini siku ambayo pesa yangu ya akiba ilimtibu mama yangu”- Irene.

Kila siku nilitembea dakika 45 kwa miguu kwenda shule. Nafika nimechoka, kazi za nyumbani ikiwemo kuosha vyombo, kuchota maji zilikuwa zinanizuia kusoma. Nilihisi ndoto zangu ziko mbali… nikaanza kukata tamaa.

Lakini sasa mambo yamebadilika. Kupitia Mshiko Clubs, nilijifunza kuweka akiba na kutumia pesa kwa busara.

Sikuamini siku ambayo pesa yangu ya akiba ilimtibu mama yangu! Pia kupitia ujasiliamali wa kilimo cha mbogamboga na snacks, mimi pamoja na wanafunzi wenzangu tumeweza kubaki shule na kufurahia masomo kwa kutatua changamoto zetu zilizokuwa kikwazo kubaki shule hapo mwanzo.

Tazama documentary nzima na ujifunze jinsi wasichana wanavyopata nguvu za kubadilisha maisha yao, link ipo kwenye bio.

Mambo vipi kijana!!! 😊Kwa mara nyingine tena, FURSA ipo mlangoni kwako.Her Initiative kupitia mradi wa Going Beyond waki...
23/03/2026

Mambo vipi kijana!!! 😊
Kwa mara nyingine tena, FURSA ipo mlangoni kwako.

Her Initiative kupitia mradi wa Going Beyond wakishirikiana na na wamerudi tena kwa awamu nyingine ikiwaletea fursa vijana wa mikoa ya Dar es salaam na Iringa.

Walengwa:
Awe amemaliza chuo hivi karibuni (kuanzia miezi 6 hadi miaka 5 iliyopita) na ana uwezo wa kutumia simu janja.

Faida utazopata:
Ujuzi wa kidijitali, uwezeshaji na elimu ya ujasiriamali.
Kukuza mtandao na kuunganishwa na fursa mbali mbali baada ya kumaliza programu.
Kupata uzoefu na kuwajengea uwezo k**a viongozi vijana.
Kuunganishwa na wataalam watakaowasaidia kukuza ujuzi na kuwepo katika nafasi nzuri ya kuajiriwa.

Ni rahisi tu: tumia nafasi hii kujiunga na fursa hii kwa kubonyeza link kwenye bio yetu au kuscan QR code uweze kupata maelezo zaidi.

Kila la kheri kijana, twende tukaguse maisha ya jamii zetu kidijitali.
Kufahamu zaidi kuhusu fursa hii bonyeza link kwenye bio yetu.

We wish you Eid Mubarak…..
21/03/2026

We wish you Eid Mubarak…..

20/03/2026

Mpaka wahenga wanashangaaa😂😂😂😆😆

“Sikuwahi kuwaza k**a nitaweza kusimama tena baada ya kukatishwa masomo” – Zamda K**a wengi, Zamda alidhani ndoto zake h...
19/03/2026

“Sikuwahi kuwaza k**a nitaweza kusimama tena baada ya kukatishwa masomo” – Zamda

K**a wengi, Zamda alidhani ndoto zake hazitawah kuwa kweli baada ya kushindwa kuendelea na masomo.

“Nilijiona sina thamani, nilidhani ndoto zangu hazina nafasi tena, na nilikaa nyumbani bila kufanya chochote”

Lakini hadithi yake haikuishia hapo. Pamoja na wasichana wenzaje 49 kutoka mkoa wa Pwani, wilaya ya Kisarawe tuliwapatia mafunzo ta elinu ya kifedha ba kujisimamia.

Mafunzo haya yamemfunulia:
1. Agency empowerment – kujitegemea na kuamua
2. Usimamizi wa fedha – kupanga na kutumia pesa vizuri
3. Ujasiriamali – kuanza na kukuza biashara

“Nilianza kuona mwanga na matumaini, lakini changamoto hazikukosekana. Nilitumia maarifa niliyopata na kushirikiana na wenzangu kupitia WhatsApp group kushirikisha ujuzi.”

Leo, kupitia vifaa na mtaji wa kuanzia uliogawanyika 70% vifaa na 30% pesa, Zamda na wenzake wanajiendeleza, wakiendesha biashara zao wenyewe na kujiamini kikamilifu. Kile kilichoonekana k**a kikwazo, leo hii ni mlango wa kufanikisha ndoto.

Hadithi ya Zamda bado inaandikwa! Yajayo yanafurahisha!🔥

K**a wewe ni msichana unayejitafuta, usikate tamaa. Wasiliana nasi kufahamu fursa za kuongeza ujuzi na kukuza biashara yako.

Doreen was a university graduate full of potential but unsure how to turn it into real impact. She then applied for the ...
16/03/2026

Doreen was a university graduate full of potential but unsure how to turn it into real impact.

She then applied for the Youth Leadership Program under Going Beyond project facilitating digital business trainings for young entrepreneurs and building confidence by solving real problems in her community.

Beyond leadership, Doreen gained essential employability skills through career development sessions, preparing her for the professional world.

With this experience, she later secured an internship as Head of Programs, proving that the right skills, support, and opportunities can open doors for young people.

This could be your story too! Stay tuned to our socials for Youth Leadership Program 2026/2027 updates.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Her Initiative posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Her Initiative:

Share