CIFCA Tanzania

CIFCA Tanzania Fostering The growth of Islamic finance in Tanzania, Promote halal Finance for Halal wealth and provide Financial Inclusion In Tanzania.

The Centre for Islamic Finance, Compliance and Advice (CIFCA), Tanzania, represented by its chairman, Mr. Aref Mbarak Na...
24/06/2026

The Centre for Islamic Finance, Compliance and Advice (CIFCA), Tanzania, represented by its chairman, Mr. Aref Mbarak Nahdi, held discussions with the Islamic Development Bank Institute (IsDBI) team during the 2026 IsDB Group Annual Meetings in Baku, Azerbaijan.

Discussions focused on strengthening collaboration to promote the development of Islamic finance in Tanzania. The potential areas of synergy include joint initiatives in Islamic finance awareness, capacity building, and knowledge dissemination.

IsDBI and CIFCA had earlier signed a Memorandum of Understanding to establish a framework for cooperation in promoting Islamic finance development in Tanzania.

Our CIFCA leaders are attending the ISDB Annual Meeting in Baku Azerbaijan.its an amazing opportunity to learn, share id...
19/06/2026

Our CIFCA leaders are attending the ISDB Annual Meeting in Baku Azerbaijan.its an amazing opportunity to learn, share ideas and build partnerships with international financial Institutions.

Take a look at these highlights from the event!

Eid Mubarak , Tuchinje kwa Ikhlas ,Tuishi kwa Amani
26/05/2026

Eid Mubarak , Tuchinje kwa Ikhlas ,Tuishi kwa Amani

25/05/2026

Kuelekea Mfumo Jumuishi wa Hifadhi ya Jamii!

Katika wasilisho lake, Mr. Abdulazizi Iddi ameshirikisha Mpango Mkakati wa Mageuzi (Reform Roadmap) utakaosaidia kujenga mfumo thabiti, endelevu na wenye uadilifu nchini kwetu.

Mageuzi haya ya kimkakati ndiyo yatakayofungua milango ya ustawi na usalama wa kifedha wa muda mrefu kwa jamii nzima.

πŸ’¬ Unadhani ni hatua gani ipewe kipaumbele zaidi katika kufanikisha mfumo huu jumuishi? Tuambie kwenye maoni! πŸ‘‡

19/05/2026
Alhamdulillah! Mjadala wa 7 wa Kila Mwezi wa Fedha za Kiislamu umekamilika kwa mafanikio makubwa.Tungependa kutoa shukra...
19/05/2026

Alhamdulillah! Mjadala wa 7 wa Kila Mwezi wa Fedha za Kiislamu umekamilika kwa mafanikio makubwa.

Tungependa kutoa shukrani zetu za dhati kwa wadau, wadhamini wetu PBZ IKHLAS na kila mmoja aliyehudhuria na kushiriki nasi.

Shukrani za kipekee zimwendee Mzungumzaji wetu Mkuu, Bw. Abdulazizi Iddi kutoka ZSSF, kwa kutushirikisha maarifa na uzoefu muhimu sana kuhusu "Umuhimu wa Kuanzisha Dirisha la Hifadhi ya Jamii Linalozingatia Sharia". Darasa hili limetupa mwanga mkubwa na kuonyesha mchango wa mifumo hii katika kukuza ujumuishaji wa kifedha na ustawi wa kiuchumi nchini.

Ushirikiano wenu ndio unaotupa nguvu ya kuendelea kutoa elimu hii. Tukutane kwenye mjadala ujao! 🀝

Unaalikwa kwenye Mjadala wa 7 wa Kila Mwezi wa Fedha za Kiislamu.Jiunge nasi katika mjadala muhimu kuhusu nafasi ya mifu...
05/05/2026

Unaalikwa kwenye Mjadala wa 7 wa Kila Mwezi wa Fedha za Kiislamu.

Jiunge nasi katika mjadala muhimu kuhusu nafasi ya mifumo ya hifadhi ya jamii inayozingatia misingi ya Sharia katika kukuza ujumuishaji wa kifedha na ustawi wa kiuchumi.

🎀 Mzungumzaji Mkuu:
Bw. Abdulazizi Iddi
(Mkurugenzi – Mpango wa Sharia, ZSSF)

Mada:
Umuhimu wa Kuanzisha Dirisha la Hifadhi ya Jamii Linalozingatia Sharia
(Mafunzo kutoka ZSSF – Zanzibar)

πŸ“… Tarehe: 16 Mei 2026
⏰ Muda: Saa 2:30 Asubuhi – Saa 7:00 Mchana
πŸ“ Mahali: Luminous International School (Magomeni Mikumi)

Hakuna Kiingilio
chakula cha asubuhi kitatolewa
Watu wote wanakaribishwa

Jisajili sasa:
https://forms.gle/UkhqYXqGBAGwAsK46

πŸ“ž Mawasiliano: 0754 400 026 / 0689 422 584

Eid Mubarak
20/03/2026

Eid Mubarak

Usizoeane na haramu, hata k**a inaonekana ndogo kiasi gani. Katika Uislamu, kujiepusha na haramu si tu kuacha maovu, bal...
07/02/2026

Usizoeane na haramu, hata k**a inaonekana ndogo kiasi gani. Katika Uislamu, kujiepusha na haramu si tu kuacha maovu, bali ni kulinda amani ya moyo, usafi wa roho, na uhusiano wako na Mwenyezi Mungu. Unapotafuta riziki, hakikisha kipato chako ni halali, kisicho na riba, udanganyifu, wala mambo yaliyokatazwa kwa sababu mali ya haramu huondoa utamu wa ibada na utulivu wa nafsi.
-Dr Ahmed Rufai

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:00
Tuesday 08:30 - 17:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CIFCA Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share