14/06/2023
Wateja wengi wamekuwa wakituuliza kwanini SMAI Express?
Wengi wanaotufuata ni kwasababu kuu mbili
- Tunasafirisha mzigo wako ndani
ya masaa tano tu unakuwa umaehsafika
kwenye hii mikoa ifuatayo Arusha, Moshi, Tanga, Zanzibar, Morogoro,
Makambako, Njombe Mbeya, Mwanza Dodoma
- Lakini pia tuna mawakala wa kupokea mzigo wako na hela kutoka wa wateja
kwa uaminifu mkubwa
Sasa Ukiwa na unaweza kupanga kuchukua au kupeleka bidhaa zako kutoka Dar es salaam kwenda nchi nzima na kuchukua bidhaa zako kutoka kwenye vituo vyetu zaidi ya 18 Tanzania bara na Zanzibar.
Tupigie sasa: 0677070939 au fika offisin Makao makuu ya SMAI.
Bibslum Plaza, kariakoo,Livingston na Pemba, Dar es salaam. Office
-commerce