Asw-Habul Yamiin Foundation

Asw-Habul Yamiin Foundation It's an Islamic NGO based in Dar es Salaam focusing with helping marginalized group in Tanzania.

16/04/2026

"Na wanapenda kuwalisha chakula, masikini, yatima na mateka" (Qur'an 76:8)

08/04/2026

Zaburi 136:1. “Mshukuruni Bwana, kwa kuwa ni mwema kwa maana fadhili zake ni za milele.” kwa niaba ya uongozi wa Taasisi ya Asw-Habul Yamiin Foundation tuna kushukuru na pia tuna kuombeya mungu kuwa nasi ktk nyakati zote za ibada.

Kullu Aami, Wa'antum Bikhair 🌙Eid Mubarak
21/03/2026

Kullu Aami, Wa'antum Bikhair 🌙
Eid Mubarak

30 Ramadhan 1447Ah
20/03/2026

30 Ramadhan 1447Ah

19/03/2026

Alhamdulilah.
Tulijaaliwa kupeleka sadaka yetu kwa watoto yatima katika kituo cha AL-Zam Orphanage Centre kilichopo Mbagala Kichemchem.
Asante kwa wote walio fanikisha jambo hili kutimia kwa uwezo wake Allah S.W
Shukran zetu za Dhati kwa uongozi wa Al-Zam Orphanage Centre walitupokea vizuri tuna washukuru sana.

29 Ramadhan 1447Ah
19/03/2026

29 Ramadhan 1447Ah

18/03/2026

“Shukran sana Mwenyekiti wa mtaa kwa moyo wako wa kujitoa, ushirikiano na kutuunga mkono. Mwenyezi Mungu akuzidishie kheri, afya njema na akulipe kwa wema wako. Ameen.”

18/03/2026

Mlezi wa Taasisi ya Asw-Habul Yamiin Foundation, mwenye moyo wa huruma na msaada kwa jamii.

28 Ramadhan 1447Ah
18/03/2026

28 Ramadhan 1447Ah

17/03/2026

Katibu wa Taasisi ya Asw-Habul Yamiin Foundation, mhimili wa uratibu na maendeleo ya taasisi

17/03/2026

Tunapenda kumtambua na kumshukuru Mkurugenzi wa Al-Zam Orphanage Centre kwa kutukaribisha kwa moyo mkunjufu Taasisi ya Asw-Habul Yamiin Foundation.
Mapokezi yenu mazuri, ushirikiano wenu, na ukarimu wenu ni ishara ya upendo, utu, na mshikamano katika kuwatumikia watoto yatima na wenye uhitaji.
Mwenyezi Mungu awalipe kheri na azidi kuibariki Al-Zam Orphanage Centre.

27 Ramadhan 1447Ah
17/03/2026

27 Ramadhan 1447Ah

Address

S. L. P. Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
0000

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 14:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Asw-Habul Yamiin Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share