15/05/2026
Kupitia mahojiano ya njia ya simu aliyofanya Maimartha Jesse na Ruben ambaye alikuwa mchumba wa Miriam Chirwa amethibitisha kuwa hatoweza kumuoa tena Miriam Chirwa kutokana na dharau ambazo amekuwa akimletea.
Ruben amesisitiza kuwa k**a bado hawajaoana analetewa dharau je akimuweka ndani si ndiyo zitazidi hivyo ameona bora asitishe ndoa.
Ila mpaka sasa watu wapo njia panda kuhusu video clip iliyotrend Miriam akifanyiwa send off watu wanajiuliza je amepata mchumba mwingine au imekuaje?