TAG Temeke House of Grace Chapel

TAG Temeke House of Grace Chapel T.A.G IS an abbreviation of TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD

  ni Siku ya Jumapili 19April2026, Evangelist Pastor One kipemba, alihubiri na kufundisha Ujumbe wenye  usemao "Neno LA ...
22/04/2026

ni Siku ya Jumapili 19April2026, Evangelist Pastor One kipemba, alihubiri na kufundisha Ujumbe wenye usemao "Neno LA Maarifa na umuhimu wake". Hatimaye akabariki viti vipya vya madhabahuni.

  kanisa LA TAG HOUSE F GRACE CHAPEL TEMEKE katika ibada ya kwanza.Jumapili ya tarehe 8 march 2026 ilikuwa ya baraka kwa...
10/03/2026

kanisa LA TAG HOUSE F GRACE CHAPEL TEMEKE katika ibada ya kwanza.Jumapili ya tarehe 8 march 2026 ilikuwa ya baraka kwa kanisa lake.Kichwa cha mahubiri kilikuwa "we are strengthened for Impact" kwa kipengele kidogo kinasema, The Voice that shapes generations.

Ni kanisa LA Tag House of grace chapel temeke katika ibada ya kwanza.Jumapili ya tarehe 1march 2026 ilikuwa ya baraka kw...
10/03/2026

Ni kanisa LA Tag House of grace chapel temeke katika ibada ya kwanza.Jumapili ya tarehe 1march 2026 ilikuwa ya baraka kwa kanisa lake.Kichwa cha mahubiri kilikuwa "we are strengthened for Impact" kwa kipengele kidogo kinasema, The spirit that transforms.

  hii, jiunge nasi kusikia ujumbe wenye nguvu: Kizazi Kilichoimarishwa kwa Maokeo. Mungu anainua watu jasiri, waliokita ...
22/01/2026

hii, jiunge nasi kusikia ujumbe wenye nguvu: Kizazi Kilichoimarishwa kwa Maokeo. Mungu anainua watu jasiri, waliokita katika kweli na kujaa nguvu za Roho Mtakatifu. Karibu Tag Temeke House of grace chapel

  hizi ni za Twins sisters,siku ya tangazo LA  uchumba wao– Doreen & Ps. Michael Ngwale, pamoja na Diana & Mwl. Nicholau...
12/01/2026

hizi ni za Twins sisters,siku ya tangazo LA uchumba wao– Doreen & Ps. Michael Ngwale, pamoja na Diana & Mwl. Nicholaus Manyanga hspa TAG TEMEKE HOUSE OF GRACE CHAPEL. Karibuni tushiriki furaha hii kwa maombi na baraka zenu.

  ya vijana yaani CAs ,ilikuwa ya baraka sana. Na vijana na kanisa zima ibada ya pili walijumuika.
04/12/2025

ya vijana yaani CAs ,ilikuwa ya baraka sana. Na vijana na kanisa zima ibada ya pili walijumuika.

 #“Ufunguzi wa Wiki ya Vijana – House of Grace ChapelTunamshukuru Mungu kwa kuanza rasmi Wiki ya Vijana leo. Pichani ni ...
23/11/2025

#“Ufunguzi wa Wiki ya Vijana – House of Grace Chapel
Tunamshukuru Mungu kwa kuanza rasmi Wiki ya Vijana leo. Pichani ni Mhubiri wa siku, ambaye pia ni Mkurugenzi wa CAS – House of Grace Chapel, EV Leonard Matemu. Ni kijana mwenye moto wa huduma, msimamizi makini na mfano wa kuigwa kwa vijana wetu.

Tunaamini wiki hii itajaa uamsho, mafundisho ya kina na matokeo makubwa kwa kizazi cha sasa. Karibuni sana kwenye ibada na vipindi vyote vya Wiki ya Vijana. Mungu atubariki wote!”

https://youtu.be/d0P1RLhkoskMaelezo ya Video (Description)“Karibu kwenye ‘Nyakati za Giza – Volume 3’, ujumbe wenye nguv...
23/11/2025

https://youtu.be/d0P1RLhkosk

Maelezo ya Video (Description)

“Karibu kwenye ‘Nyakati za Giza – Volume 3’, ujumbe wenye nguvu unaotolewa kupitia Neno la Mungu kutoka Yohana 1:4: ‘Katika yeye kulikuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.’ Katika mahubiri haya, Mwinjilisti wa Radio na Television Kipemba Omega anatukumbusha kuwa hata nyakati zinapokuwa ngumu na giza likionekana kutuzunguka, bado ipo Nuru ya Kristo inayong’aa na kutuongoza. Ujumbe huu ni wa faraja, matumaini na ushindi kwa yeyote anayepitia vipindi vigumu maishani.”

Maelezo ya Video (Description)“Karibu kwenye ‘Nyakati za Giza – Volume 3’, ujumbe wenye nguvu unaotolewa kupitia Neno la Mungu kutoka Yohana 1:4: ‘Katika yey...

Huduma ya Neno LA Mungu ,seminar ya umisheni  ikiendelea kanisani 11-09-2025, Mtumishi was Mungu PST Prince Kutoka Ameri...
11/09/2025

Huduma ya Neno LA Mungu ,seminar ya umisheni ikiendelea kanisani 11-09-2025, Mtumishi was Mungu PST Prince Kutoka America Akihubiri na kutafsiriwa na EV KIPEMBA OMEGA. Nashukuru sana k**ati ya Jimbo LA Temeke hini Ya Bishop Victor Tawete kwa kuniombea na kuniaminin k**a translator.

Rev Dr Joseph Mayala Mitinje , na kaka yangu kutoka AICT Chang'ombe akiwa madhabahuni tarehe 10-8-2025,   hapa TAG TEMEK...
13/08/2025

Rev Dr Joseph Mayala Mitinje , na kaka yangu kutoka AICT Chang'ombe akiwa madhabahuni tarehe 10-8-2025, hapa TAG TEMEKE HOUSE OF GRACE CHAPEL. Ilikuwa siku ya baraka sana

04/08/2025

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255742366775

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAG Temeke House of Grace Chapel posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share