21/03/2026
🌙✨ EID MUBARAK✨🌙
Mwananchi Youth Development Foundation (MWADEF) tunawatakia Waislamu wote pamoja na jamii kwa ujumla sikukuu njema ya Eid.
Tunawaombea amani, upendo na mshikamano viendelee kutawala katika familia zenu na taifa letu kwa ujumla.
Eid hii iwe chachu ya kuimarisha umoja, kusaidiana na kuendeleza juhudi za kuwainua vijana na jamii nzima.
🌟 Eid Mubarak! 🌟
MWADEF