Muungano Recovery Community

Muungano Recovery Community Country: TANZANIA
City: Dar-Es-Salaam
S.L.P: 79149
Director: +2556 8362 0421
Manager: +255769875623

Tulipata wasaa wa kuwakabidhi vyeti wanafunzi wa Tucasa kigamboni city college baada ya kumaliza muda wao wa field katik...
21/07/2026

Tulipata wasaa wa kuwakabidhi vyeti wanafunzi wa Tucasa kigamboni city college baada ya kumaliza muda wao wa field katika kituo chetu

We are thankful πŸ™πŸ™
21/07/2026

We are thankful πŸ™πŸ™

26/06/2026
26/06/2026

Mpango mkakati : suluhisho la dawa za kulevya

26/06/2026

Leo tarehe 26th June,2026 katika maadhimisho ya kupinga Biashara na Matumizi ya Dawa za Kulevya ambapo sisi Morogoro_Alcoholic_and_Treatment_Centre tuliadhimisha siku hiyo kwa hafla ya pekee iliyoandaliwa kwa kushirikiana na ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Morogoro mjini pamoja na usimamizi wa kipekee kutoka kwa wawakilishi kutoka mamlaka ya kupambana na kudhibiti Dawa za Kulevya nchini Drug Control and Enforcement Authority

Umoja wetu ndio Siri ya ushindi wetu, Hakika Mungu ni muaminifu kwetu πŸ™.Mapema leo 07-06-2026 tulijumuika na wenzetu wa ...
07/06/2026

Umoja wetu ndio Siri ya ushindi wetu, Hakika Mungu ni muaminifu kwetu πŸ™.
Mapema leo 07-06-2026 tulijumuika na wenzetu wa Dodoma

❗️


Mr.  mkurugenzi mkuu wa shirika la Muungano Recovery Community, Tanzania    pamoja na na mratibu Mr.  kwenye picha ya pa...
05/06/2026

Mr. mkurugenzi mkuu wa shirika la Muungano Recovery Community, Tanzania pamoja na na mratibu Mr. kwenye picha ya pamoja na wadau mbalimbali waliojumuika kuwakilisha network for Voice of Sober Houses kwenye hafla muhimu ya EAST AFRICA YOUTH FORUM ON DRUGS (EAYFD) Iliyofanyika jijini Arusha.


❗️

Chukua Hatua...URAIBU unatibika!  🚫
16/03/2026

Chukua Hatua...URAIBU unatibika!
🚫

Address

Mrc Kigamboni Sober House, Mjimwema, Kigamboni
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255683620421

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Muungano Recovery Community posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share