Mulika Tanzania

Mulika Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mulika Tanzania, Non-Governmental Organization (NGO), 24/218 Mkwajuni Street, Kinondoni.

Happy New Month from Mulika Tanzania! ✨ As we step into April, may this month bring you new opportunities, renewed energ...
01/04/2025

Happy New Month from Mulika Tanzania! ✨ As we step into April, may this month bring you new opportunities, renewed energy, and endless possibilities. Let's keep shining a light on progress and positivity together!

|

Mulika Tanzania wishes you a joyful and blessed Eid al-Fitr! May this festive season bring you peace, prosperity, and en...
30/03/2025

Mulika Tanzania wishes you a joyful and blessed Eid al-Fitr! May this festive season bring you peace, prosperity, and endless happiness. Eid Mubarak! βœ¨πŸŒ™

|

Habari Njema kwa Wana-Dar es Salaam.Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imeongeza siku 2 zaidi za uboreshaji wa Daftari la Ku...
24/03/2025

Habari Njema kwa Wana-Dar es Salaam.

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imeongeza siku 2 zaidi za uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura hadi Jumanne, Machi 25.

K**a bado hujajiandikisha au hujafanya marekebisho, huu ndio muda wako.

|

Daftari la Kudumu la Mpiga Kura linakaribia kufungwa – ni imebaki leo tu.Usikose haki yako ya kupiga kura 2025. K**a bad...
23/03/2025

Daftari la Kudumu la Mpiga Kura linakaribia kufungwa – ni imebaki leo tu.

Usikose haki yako ya kupiga kura 2025. K**a bado hujajiandikisha au hujaboreshwa taarifa zako, fanya hivyo sasa.

Kumbuka, kura yako ni sauti yako chukua hatua leo.

|

Zoezi la kuboresha Daftari la Mpiga Kura linakaribia mwisho imebaki leo na kesho tu. Bado siku 2 pekee! K**a hujajiandik...
22/03/2025

Zoezi la kuboresha Daftari la Mpiga
Kura linakaribia mwisho imebaki leo na kesho tu. Bado siku 2 pekee! K**a hujajiandikisha au hujaboreshwa, fanya hivyo sasa ili usikose haki yako ya kupiga kura 2025.

Usikubali sauti yako ipotee.

|

Wakazi wa Dar es Salaam, Jiandikishe Sasa! πŸ—³οΈTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza uandikishaji wa wapiga kura kwenye ...
21/03/2025

Wakazi wa Dar es Salaam, Jiandikishe Sasa! πŸ—³οΈ

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza uandikishaji wa wapiga kura kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura tangu tarehe 17 Machi 2025. Hakikisha umejiandikisha au umeboresha taarifa zako ili kutimiza haki yako ya kupiga kura kwenye uchaguzi ujao.

βœ… K**a umehama au taarifa zako zimebadilika, nenda kituo cha uandikishaji kilicho karibu na wewe.
βœ… K**a unajiandikisha kwa mara ya kwanza, hakikisha unafika na kitambulisho kinachotakiwa.

Usikose fursa hii! Hakimiliki yako, Sauti yako


Tulianza kwa jasho, tumemaliza kwa vicheko.Hii ilikuwa kwenye Youth Economic Empowerment Workshop katika wilaya za Chamw...
18/03/2025

Tulianza kwa jasho, tumemaliza kwa vicheko.

Hii ilikuwa kwenye Youth Economic Empowerment Workshop katika wilaya za Chamwino, Bahi na Kondoa – kazi imefanyika na matokeo chanya yanakuja.

Je unajua kituo kinachofuaata ..?

|

YEE Project Leo Wilayani Kondoa Siku ya Pili.Picha ya pamoja ya Maafisa, Vijana na Viongozi wa Mulika Tanzania. Baada ya...
15/03/2025

YEE Project Leo Wilayani Kondoa Siku ya Pili.

Picha ya pamoja ya Maafisa, Vijana na Viongozi wa Mulika Tanzania. Baada ya Youth Economic Empowerment Workshop kumalizika leo. Vijana toka Kijiji cha Mnenia Wilaya ya Kondoa.


"Vijana ni muhimu sana kuwa na nidhamu ya fedha binafsi na hata mnapokua kwenye vikundi hususani kujiwekea akiba ambayo ...
15/03/2025

"Vijana ni muhimu sana kuwa na nidhamu ya fedha binafsi na hata mnapokua kwenye vikundi hususani kujiwekea akiba ambayo ni lazima uwe na malengo na hio pesa ndipo itakapo kusaidia" β€” Mkufunzi masuala ya fedha

|

Washiriki wa mradi wa YEE Kondoa kata ya Bereko wakiwa kwenye vikundi kujadili jinsi ya kuunda vikundi, kuteua viongozi,...
15/03/2025

Washiriki wa mradi wa YEE Kondoa kata ya Bereko wakiwa kwenye vikundi kujadili jinsi ya kuunda vikundi, kuteua viongozi, na kuandaa katiba. Hatua hii itasaidia katika mchakato wa kuomba mikopo ya halmashauri kwa ajili ya maendeleo yao ya kiuchumi.

|

"Kitambulisho cha mjasiriamali unakipata kwa Tsh. 20,000/= tu na unaweza kukirenew kwa kila baada ya miaka 3 na unalipia...
15/03/2025

"Kitambulisho cha mjasiriamali unakipata kwa Tsh. 20,000/= tu na unaweza kukirenew kwa kila baada ya miaka 3 na unalipia Tsh.5000/= tu, na endapo kimepotea ili uweze kutengenezewa kingine gharama yake ni Tsh. 10,000/= tu." β€” Afisa Maendeleo Usajili wa wajasiliamali Kata

|

"Usawa wa fursa kwa vijana sio wanawake kuwazidi wanaume bali ni wanawake kuwa sawa kuzipata fursa k**a ilivyo kwa wanau...
15/03/2025

"Usawa wa fursa kwa vijana sio wanawake kuwazidi wanaume bali ni wanawake kuwa sawa kuzipata fursa k**a ilivyo kwa wanaume, hatimae kumuwezesha mwanamke kuwa na yeye na kipato chake binafsi na kuepuka kumtegemea mwanaume tu na lengo ni kupata maendeleo kwa pamoja" β€” Afisa Maendeleo Kondoa DC Elizabeth Shoo

|

Address

24/218 Mkwajuni Street
Kinondoni
P.O.BOX110199,

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mulika Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Mulika Tanzania:

Share