Alzam Orphanage Center

Alzam Orphanage Center Ni makao ya kulelea watoto waishio katika mazingira hatarishi. Makao yaliyopo mbagala. .

REG: 129896,
MOB:+255717 655 665,+255752 156 950,+255 683 385 242
Dar es salaam-Tanzania

Shukran zetu za dhati twamshukuru mungu kwa kuweza kutuletea mtu sahihi katika makao yetu, kiukweli hatuna la kusema maa...
07/02/2024

Shukran zetu za dhati twamshukuru mungu kwa kuweza kutuletea mtu sahihi katika makao yetu, kiukweli hatuna la kusema maana kila tukifikiria tunaona maneno hayatoshi ila ibaki kusema ahsante sana SAID LUGUMI kiukweli uwongozi wa al-zam na watoto wamefurahi. Tuna kushukuru sana tena sana zaidi ya sana kwa gari hiii kwetu inathamani kubwa sana kwani itawasaidia watoto kuepukana na adha ya usumbufu wakati wa kwenda shule pamoja na safari zao nyingi. Tunamuomba mungu akulinde na akuhifadhi kutokana na kila chuki pamoja na husda pia akujaalie katika biashara zako kila kwenye uzito afanye wepesi na akupe afia njema na umri mrefu aamin 🤲🏽🤲🏽 tuna kushukuru sana SAID LUGUMU
limited

Watoto ni baraka na ni hazina na jambo la muhimu kwao ni elimu kwani elimu ni msingi wa maisha.
07/02/2024

Watoto ni baraka na ni hazina na jambo la muhimu kwao ni elimu kwani elimu ni msingi wa maisha.

Kila la kheri vijana nendeni mkasome kwa bidii ili muweze kuiwakilisha vema al-zam.
07/02/2024

Kila la kheri vijana nendeni mkasome kwa bidii ili muweze kuiwakilisha vema al-zam.

Mkurugenzi wa Al-ZAM ORPHANAGE CENTER  akiwapa nasaha vijana wake kabla ya kuelekea mosomoni. Nasi k**a uwongozi tunawat...
07/02/2024

Mkurugenzi wa Al-ZAM ORPHANAGE CENTER akiwapa nasaha vijana wake kabla ya kuelekea mosomoni. Nasi k**a uwongozi tunawatakia masomo mema mungu awasimamie katika masomo yenu ili muje kuawsaidia wadogo zenu.

Address

Dar Es Salaam
TEMEKE

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Alzam Orphanage Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share