Jiwazishe

Jiwazishe Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jiwazishe, Community Service, FOFAM LIMITED, Dar es Salaam.

Wenzako wanaisemesha siku yako  mambo yasiyo kufaa sababu wewe umenyamaza kimya
17/06/2024

Wenzako wanaisemesha siku yako mambo yasiyo kufaa sababu wewe umenyamaza kimya

17/06/2024
Cheo ni dhamana, wanaokupa jina la cheo chako ni wale unaowaongoza
17/06/2024

Cheo ni dhamana, wanaokupa jina la cheo chako ni wale unaowaongoza

Unachokidharau kinayo mamlaka kuliko ujuavyo
17/06/2024

Unachokidharau kinayo mamlaka kuliko ujuavyo

Urithi ni k**a nguo ya kuazima ukiikosea nidhamu utadhalilika
17/06/2024

Urithi ni k**a nguo ya kuazima ukiikosea nidhamu utadhalilika

Taji haipatikani kirahisi, fika kileleni
17/06/2024

Taji haipatikani kirahisi, fika kileleni

Penda kuelewa siyo kukariri
17/06/2024

Penda kuelewa siyo kukariri

Kuwa tayari wakati wa kuoga vumbi na kuoga tope kwa sababu wakati wa kuoga maji usipochanganyikiwa unakungoja punde tu
13/01/2024

Kuwa tayari wakati wa kuoga vumbi na kuoga tope kwa sababu wakati wa kuoga maji usipochanganyikiwa unakungoja punde tu

Wanadamu tunaheshimu mwelekeo wa nyayo peke yake tungaliweza kuzibadili basi matamanio yetu ingalikuwa kila mtu aende kw...
10/01/2024

Wanadamu tunaheshimu mwelekeo wa nyayo peke yake tungaliweza kuzibadili basi matamanio yetu ingalikuwa kila mtu aende kwa mtindo wake. Wengine wangezigeuza nyayo zao kuelekea nyuma, kushoto ama kulia na bado wapo ambao wangewashangiliwa kwamba wamependeza.

Kuna mtu amekaa kwenye chombo cha habari akitafuta uhuru na haki za mashoga na wasagaji lakini yeye hafanyi hilo, kuna mtu anashabikia mwingine kuuawa lakini yeye anaogopa kufa, mtu anafurahia ubaguzi lakini hapendi kubaguliwa. Wanadamu tunatenda tusichokipenda na tunachukia tunachokipenda

Ukiona watu wanakusifia na kukushangilia sana, anza kufuatilia usalama wako leo na kesho inayokungoja kwa hamu.

PESA NA UTAJIRIIli uelewe vizuri anzia makala za nyumaKatika vigezo hivyo saba ndimo tunapoupata mchanganuo ama kanuni y...
10/01/2024

PESA NA UTAJIRI

Ili uelewe vizuri anzia makala za nyuma

Katika vigezo hivyo saba ndimo tunapoupata mchanganuo ama kanuni ya utajiri ambayo ndiyo dira na msaada ikiwa mhitaji wa utajiri ataiishi na kuitumikia vyema.

Mchanganuo/kanuni ya utajiri ipo k**a ifuatavyo;-

U - UHITAJI
T - THAMANI
A - AMANI
J - JUHUDI
I - IMANI
R - ROHO
I - IBADA

Kanuni ya utajiri kupitia mchanganuo wa herufi zake 7 unamaanisha ufafanuzi ufuatao kwa kila kipengele,

1. Pesa haiendi kwa kila anayeitaka, pesa hufuata mkondo wa UHITAJI.

2. Pesa haiongezeki wala kuongeza thamani yake pale inapodharauliwa, pesa huongezeka thamani na kuongeza THAMANI ya anayeonesha nia ya kuitaka pale inapoheshimiwa kwa mtu kuiishi na kudumisha misingi ya nidhamu ya fedha.

3. Awali tunaiHITAJI ili ituongezee THAMANI na kututoa katika dhiki ili tuwe huru na wenye AMANI.

4. Kuihitaji pesa peke'ake haitoshi, ila inahitaji kitu cha ziada ambacho kitaiwezesha kani ya ndani (rohoni) kuweza kudhihirisha matokeo yake katika matokeo halisi na sio alinacha. Njia pekee ya kuifanya roho idhihirishe utajiri wa mtu alionao ndani ni kupitia JUHUDI katika kujituma.

5. Pesa haimfuati mtu kwa sababu tu ya imani yake kali au utakatifu alionao, pesa inakwenda pahala ambapo anayeihitaji ana IMANI nayo na anatarajia kuipata.

6. Pesa tunazozishika, sio ndiyo aina pekee ya pesa ambazo tunazihitaji ili tutajirike. Pesa nyingi ya kutuletea utajiri inapaswa kwanza ishikwe na imilikiwe ROHOni ili iwe rahisi kuidhiti na kuiendesha katika ulimwengu wa mwili/kawaida.

7. Pesa inatafutwa na kila mtu na inatafutwa kwa kila namna na hiyo ndiyo sababu kwa nini watu wepesi wasio na uimara wowote hawatajiriki.
Pesa inapaswa iwe miongoni mwa vitu ambavyo vinapaswa kufanyiwa IBADA maalum kwa kuzingatia kanuni zote za ibada ambazo zinauwezesha mwili kuzama rohoni kwa ajili ya kufanya ustawi.

Address

FOFAM LIMITED
Dar Es Salaam
17132

Telephone

+255736300020

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jiwazishe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Jiwazishe:

Share