Jamii na Mazingira

Jamii na Mazingira Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jamii na Mazingira, Community Organization, Dar es Salaam.

Jamii na Mazingira ni Taasisi ya Utunzaji na Uhifadhi wa Mazingira katika Maeneo mbali mbali Nchini tuna angazia masuala ya Uvuvi, Kilimo, Misitu, Utalii , Fukwe za bahari n.k

16/05/2026
Kuelekea siku ya Mazingira duniani mikoa mbali mbali Wadau wa Mazingira wanaendelea kutoa Elimu ya Utunzaji na Uhifadhi ...
10/05/2026

Kuelekea siku ya Mazingira duniani mikoa mbali mbali Wadau wa Mazingira wanaendelea kutoa Elimu ya Utunzaji na Uhifadhi wa Mazingira kwa vijana Wadogo na Jamii kiujumla wakishirikiana na maafisa Mazingira kote Nchini.

Hapa ni Wilaya ya Mwanga mkoa wa Kilimanjaro Taasisi ya Mazingira ya Balozi wa Mazingira ikiongozwa na bw. Rafael Mrutu wakigawa miche ya matunda iliyo pandwa katika eneo la shule ya sekondari Kwangu.

Endelea kutazama kipindi Cha Jamii na Mazingira Star Tv tujifunze namna Bora ya Utunzaji na Uhifadhi wa Mazingira katika Maeneo mbali mbali Nchini Kila siku ya Alhamisi saa 12:30 Jioni na Marudio ni Jumamosi saa 9:30 Alasiri.

Kuelekea maadhimisho ya miaka 40 ya Baraza la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC ,Elimu ya Utunzaji na Uhifadhi wa ...
08/05/2026

Kuelekea maadhimisho ya miaka 40 ya Baraza la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC ,Elimu ya Utunzaji na Uhifadhi wa Mazingira inaendelea kutolewa katika Maeneo tofauti Nchini.

Moja kati ya mambo ya kufurahisha ni namna ambavyo Nemc wanatia mkazo Elimu hiyo ianzie ngazi za chini kabisa katika Jamii kwa maana ya shule za msingi n.k.

Sisi k**a Jamii na Mazingira tunawapongeza kwa ushirikiano mzuri wanao endelea kutupatia Sisi Wadau mbali mbali wa Mazingira katika kuongeza nguvu ya Utunzaji na Uhifadhi wa Mazingira kote Nchini 🙏. 📸Nemc

Address

Dar Es Salaam
ENVIRONMENTALCONSERVATION��

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jamii na Mazingira posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share