umt.foundation

umt.foundation Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from umt.foundation, Non-Governmental Organization (NGO), Dar es Salaam.

13/04/2026

Unajua maana ya mtu kuwa STAR ⭐️

13/04/2026

Unajua nini kuhusu MOTHERLAND vyenye wanahita wazungu?

09/04/2026

Don't escape about UMT k**a kweli una ndoto kubwa na maana ndo mkombozi wako k**a unaamini hivyo andika hivi --UMT 4LIFE

09/04/2026

It's time again k**a unatamani kushiriki kwenye kikao hiki lazima uwe kwenye group la whatsapp tuma neno UMT jungle kwenye group kwa kuambatanisha na no yako ya whatsapp huku ukimtag rafiki yako mwenye ndoto kubwa

09/04/2026

UMT INTERVIEW:Part 17D

Hakikisha una follow account hii kwa taarifa nyingi sana kuhusu UMT. Like ,comment ,share na umtag rafiki yako mwenye ndoto kubwa

31/03/2026

UMT INTERVIEW:Part 17 is around the corner πŸ€’πŸ€’

30/03/2026

UMT INTERVIEW:Part 17 is comings soon
Hakikisha una follow account hii kwa taarifa nyingi sana kuhusu UMT. Like ,comment ,share na umtag rafiki yako mwenye ndoto kubwa

23/03/2026

Matokeo ya kufanya interview siku ya idd ni haya huku unawaza hujaalikwa kula pilau πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Any way hii ilikuwa behind the scene. Full Exclusive interview utaipata kupitia channel ya YouTube kwenye channel inayoitwa "umt.foundation" hakikisha unaenda sasa hivi kusubscribe na kugusa kakengere kwa ajiri ya notifications. Ukikosa kuangalia interview hii usiifatilie tena UMT πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Haloooooooo!!

21/03/2026

Umekosa live ya leo tiktok? Ilikuwa hatari

Tumechambua Thamani za UMT ambazo ni Innovation,Unity &Uniqueness

Na maneno yanayounda UMT Unity,Minds & Transformation.

Hakikisha unaendelea kuifatilia UMT kuna vingi vinazungumzwa bila kusahau Exclusive interview part 16 is around the corner hakikisha unafollow channel ya YouTube ambayo ni .foundation


,slowly but strongly

21/03/2026

UMT INTERVIEW:Part 16 is coming soon. Hii ni exclusive interview na moja ya vijana ambaye ana ndoto kubwa lakini ni kiongozi wa Team ya awali ya UMT. Hakikisha unafatilia mitandao yote ya kijamii kwa jina moja tu la "umt.foundation"πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ .foundation

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when umt.foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to umt.foundation:

Share