Maguha group

Maguha group Maguha Group ni Kikundi cha Kusaidia Waishio Dar es Salaam Kutokea Maguha Wilaya ya Kilosa

📌 Tukio hili lilitufundisha kuwa kidogo unachotoa kinaweza kuwa kikubwa sana kwa mwingine ❓swali kwako: k**a ungekuwa se...
31/08/2026

📌 Tukio hili lilitufundisha kuwa kidogo unachotoa kinaweza kuwa kikubwa sana kwa mwingine
❓swali kwako: k**a ungekuwa sehemu ya tukio hili, ungependa Maguha Group kwa wakati
mwingine iwafanyie nini watoto hawa. Dondosha comment hapo chini👇

Ni miongoni mwa viongozi wastaafu kila mmoja na nafasi yake K**a unatufatilia vilivyo   kuna zawadi yako ya tshet ya mag...
28/08/2026

Ni miongoni mwa viongozi wastaafu kila mmoja na nafasi yake

K**a unatufatilia vilivyo kuna zawadi yako ya tshet ya maguha group
endapo utawataja wote kwa majina yao
Na vyeo vyao walivyo vitumikia k**a viongozi wa Maguha group
kwa usahihi
TUTAJIE KWENYE COMMENT

🏚️ Historia ya Maji ya Kijiji cha MaguhaJengo hili lilikuwa likihifadhi mashine zilizotumika kusukuma maji kutoka kwenye...
24/08/2026

🏚️ Historia ya Maji ya Kijiji cha Maguha
Jengo hili lilikuwa likihifadhi mashine zilizotumika kusukuma maji kutoka kwenye kisima kwenda kuwahudumia wananchi wa Kijiji cha Maguha.
Leo limebaki kuwa sehemu ya historia yetu. 💧❤️
Je, unakumbuka kipindi ambacho tukichota maji kwa chambo palikuwaje
Tuambie kwenye comment 👇

Katibu wa maguha group anatokea kitongoji cha kanisan je wewe acha comment hapa📍Unatokea kitongoji gani♥️ Na kitu gani u...
23/08/2026

Katibu wa maguha group anatokea kitongoji cha kanisan je wewe acha comment hapa
📍Unatokea kitongoji gani
♥️ Na kitu gani unakipenda zaidi kuhusu maguha

16/08/2026

Tuna mengi ya kukuhabarisha hapa tufollowe

With Alex Gonzaga – I just got recognized as one of their top fans! 🎉
16/08/2026

With Alex Gonzaga – I just got recognized as one of their top fans! 🎉

14/08/2026

Umemaliza mwaka gani hapa je unamkumbuka mwalimu gani comment hapo

Address

Buguruni
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maguha group posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share