Uwamaa

Uwamaa UMOJA WA WALIMU WA MADRASA KATA YA AZIMIO

SALAMU ZA POLEUongozi wa Umoja wa Walimu wa Madrasa Kata ya Azimio (UWAMAA), unatoa pole kwa Sheikh Sharif Hashri (Mlezi...
14/07/2026

SALAMU ZA POLE

Uongozi wa Umoja wa Walimu wa Madrasa Kata ya Azimio (UWAMAA), unatoa pole kwa Sheikh Sharif Hashri (Mlezi wetu) kufuatilia kifo cha Mama yake Mzazi Bint Sheikh Hashri kilichotokea leo Julai 13, 2026.

Tunamuomba Allah (s.w) awape subira, uvumilivu na moyo wa kustahamili katika kipindi hiki kigumu. Tunamuombea Mama yetu kwa Allah (s.w) amsamehe makosa yake, amrehemu kwa rehema zake na amjaalie pepo kuwa makazi yake.

Amiin

Innaalillahi Wainnailayhi Rajiuun!

Moja ya matukio yaliyofanyika jana Julai 12, 2026 katika sherehe zetu za Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1448H, ni...
13/07/2026

Moja ya matukio yaliyofanyika jana Julai 12, 2026 katika sherehe zetu za Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1448H, ni upimaji wa afya kwa Wanafunzi wenye changamoto za kiafya. Madaktari bingwa wa magonjwa mbalimbali walikuwepo kuendesha zoezi la upimaji.

Shukrani
13/07/2026

Shukrani

Shukrani za dhati.
23/03/2026

Shukrani za dhati.

Zakatul Fitri 1447 / 2026Kiasi cha Zakatul Fitri TSh 8,500/- 📲 Tuma Zakkah yako kupitia: Lipa namba ya Mixx by yas 19061...
16/03/2026

Zakatul Fitri 1447 / 2026

Kiasi cha Zakatul Fitri TSh 8,500/-

📲 Tuma Zakkah yako kupitia: Lipa namba ya Mixx by yas 19061063.
(Jina: UWAMAA)

Zakatul Fitri 1447 / 2026Kiasi cha Zakatul Fitri mpaka kumfikia mlengwa ni TSh 8,500/- 📲 Tuma Zakkah yako kupitia: Mixx ...
14/03/2026

Zakatul Fitri 1447 / 2026

Kiasi cha Zakatul Fitri mpaka kumfikia mlengwa ni TSh 8,500/-

📲 Tuma Zakkah yako kupitia: Mixx by Yass lipa namba 19061063
(Jina: UWAMAA)

Address

Azimio Kaskazini
Dar Es Salaam
11000

Telephone

+255719998314

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uwamaa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Uwamaa:

Shortcuts

Share