Idara Ya Habari Na Mawasiliano Uwamaa

Idara Ya Habari Na Mawasiliano Uwamaa UWAMAA: NI UMOJA WA WALIMU WA MADRASA KATA YA AZIMIO.

Shukrani za dhati.
23/03/2026

Shukrani za dhati.

Zakatul Fitri 1447 / 2026Kiasi cha Zakatul Fitri TSh 8,500/- 📲 Tuma Zakkah yako kupitia: Lipa namba ya Mixx by yas 19061...
16/03/2026

Zakatul Fitri 1447 / 2026

Kiasi cha Zakatul Fitri TSh 8,500/-

📲 Tuma Zakkah yako kupitia: Lipa namba ya Mixx by yas 19061063.
(Jina: UWAMAA)

Zakatul Fitri 1447 / 2026Kiasi cha Zakatul Fitri mpaka kumfikia mlengwa ni TSh 8,500/- 📲 Tuma Zakkah yako kupitia: Mixx ...
14/03/2026

Zakatul Fitri 1447 / 2026

Kiasi cha Zakatul Fitri mpaka kumfikia mlengwa ni TSh 8,500/-

📲 Tuma Zakkah yako kupitia: Mixx by Yass lipa namba 19061063
(Jina: UWAMAA)

Picha za Matukio Dua ya pamoja ya kuwaombea darasa la saba iliyoandaliwa na UWAMAA leo Septemba 07, 2025.
07/09/2025

Picha za Matukio Dua ya pamoja ya kuwaombea darasa la saba iliyoandaliwa na UWAMAA leo Septemba 07, 2025.

Umoja wa Walimu wa Madrasa Kata ya Azimio unawaalika katika Sherehe za Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1447 Hijriy...
10/07/2025

Umoja wa Walimu wa Madrasa Kata ya Azimio unawaalika katika Sherehe za Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1447 Hijriya.

Siku: Jumapili 13/7/2025.
Muda: 2:00 Asubuhi - 10:30 Jioni.
Mahali: Viwanja vya Shule ya Msingi Sokoine.

Nyote Munakaribishwa!!

Salamu za pole.
08/02/2025

Salamu za pole.

Picha za matukio ya Mkutano mkuu wa tano (5) wa Umoja wa Walimu wa Madrasa kata ya Azimio UWAMAA uliofanyika tarehe 29.1...
01/01/2025

Picha za matukio ya Mkutano mkuu wa tano (5) wa Umoja wa Walimu wa Madrasa kata ya Azimio UWAMAA uliofanyika tarehe 29.12.2024 katika Ukumbi wa Idd Nyundo uliopo ofisi ya Halmashauri ya Manispaa ya Temeke.

Wanafunzi wa kidato cha nne kutoka katika Shule mbalimbali za Sekondari zilizopo ndani na nje ya Kata ya Azimio wakiwa k...
10/11/2024

Wanafunzi wa kidato cha nne kutoka katika Shule mbalimbali za Sekondari zilizopo ndani na nje ya Kata ya Azimio wakiwa kwenye Dua ya kuwaombea kheri katika mitihani yao ya kuhitimu itakayoanza hapo kesho Jumatatu Novemba 11, 2024. Dua iliyoandaliwa na kuratibiwa na Umoja wa Walimu wa Madrasa Kata ya Azimio (UWAMAA).

Sambamba na Dua hiyo Wanafunzi walipata fursa ya kusikiliza nasaha na mbinu mbalimbali kutoka kwa Walimu na Masheikh katika kuielekea mitihani hiyo.

03/11/2024
Allah awatangulie vijana wetu🤲🏻
11/09/2024

Allah awatangulie vijana wetu🤲🏻

Address

Azimio Kaskazini
Dar Es Salaam
11000

Telephone

+255719998314

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Idara Ya Habari Na Mawasiliano Uwamaa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Idara Ya Habari Na Mawasiliano Uwamaa:

Share